Kilio cha Madaktari wanaomaliza internship Awamu ya Tano

Ningelikua nimesomea udaktari wala nisingehangaika na kazi za serikalini, ninge base private sector au international posting tu botswana, namibia, zambia, canada kote huko lakini sababu akili za Watanzania ni ndogo hua hawapendi kutafuta maisha nje ya Tanzania basi wanalia lia kama huyu daktari uchwara
acha dharau,kama huna info,kaa kimya,..botswana hyo unayoiongelea ni ya 1990,..madaktar wote wa africa wanakimbilia huko,trafic ni kubwa kuliko,..haya,huko canada ndo wala usikutaje.hawaamin madaktar wa 3rd world .utaenda ma kuishia kubeba box tuu,..kwahyo kama hujui mambo kaa kimya,sio kudharau watu.
 
poleni sana dogo. lakini leo pale kwenye rada si mmeambiwa tembeeni kifua mbele nchi ipo pazuri?

achana na akina Akwilina (rip), Allen (rip), Lissu (gws), nk - hawa nadhani walikuwa wanatembea kifua nyuma!

sic!!
 
Usi-judge kama huna info, waulize walosoma chuoni watakuambia
Wewe ndo huna info ndo maana nimekuuliza hiyo topic inafundishwa katika somo gani ili nielewe. Najua sylabus ya madaktari haina masomo ya hayo halafu wewe unauliza huko chuo hawakusoma. Jibu ni hawajasoma.
 
Anaandika Daktari Mpya mtaani...
aliyemaliza mafunzo ya utaraji (internship) katika awamu ya Tano inayo ongozwa na Chama cha Mapinduzi CCM.

"Jina kubwa" kuliko wallet.
Unakutana na classmate wako wa o level anakuita " kiongozi" mkuu" kamanda" na anaenda maili moja mbele anakuita " Daktari "
Meanwhile hauna kitu mfukoni zaidi ya nauli na maisha yako yamekuwa ya kuungaunga.
Hahahaa hapo ndo unatamani kumziba mdomo.
Unaanza kukumbuka Jinsi ulivyokomaa miaka mingi sana shuleni ukijidanganya ukipata jina kubwa la "Daktari" pengine na pesa zingekuwa nyingi.
Ndipo unakumbuka hauna kitu zaidi ya ujuzi wa udaktari kichwan na mikonon na hauna sehem ya " angalau " kuutumia huo ujuzi maana serikali " haiutambui uwepo wako"
Unakumbuka jinsi wazee wa Muhimbili walivyokusotesha miaka 5+ kwa kile wanachokiita " to satify the examiners " pamoja na kukuita " The cream of The nation " huku wengine wakikuita " mbuzi" mhuni " n.k
Unakumbuka ulivyovumilia matusi yote ukiamini ipo siku yatasahaulika.
Naam sasa unaona matusi yale ya wazee wa muhas yalikuwa nafuu pale unapotafta " angalau " ki jisehemu cha kujishikisha aka tempo halafu mtu anakuambia atakuajiri na atakulipa bei " sawa na mlinzi wa hospitali yake"
Unachukia sana ila hauna jinsi maana unakumbuka " utokapo " kwamba pengine usipofanya " kitu" kabisa wadogo na wazazi wako mambo " hayaendi kabisa "
Unaamua kutafuta kijiwe kingine na kingine ili angalau pamoja na kulipwa " hela ya mlinzi" majumlisho kwa hivyo vijiwe vitatu yaweze angalau kukidhi " baadhi" ya mahitaji yako ya msingi.

Masaa 24 daily uko kazini except siku ya ibaada. Sehem ya kulala ni kweny daladala ukiwa unahama kijiwe kimoja kwenda kingine.
Unakumbuka wimbo wa Kibaha school " struggle for success" Unaamua kukomaa hadi itakavyothibitika vingine.

Pamoja na hayo..

Ndipo unakumbuka wenzio "hawana vyeti" na ni wakuu serikalini achilia mbali "wenye vyeti feki"
Tena wanapiga pesa na masaa yao ya kazi ni mawili kwa siku wanapata na muda wa kwenda "gimu"
Wanalala kwenye " mahekalu "tena wakilindwa huku wewe unaegesha kwenye nyumba ya kupanga.
Unaambiwa wanaishi hivyo maana ni waunga mkono" juhudi " za mamlaka toka juu!

Ndipo unaposema kwa ujasiri kama alivyosema mtu wa Mungu Musa "ni heri kuteseka na watu wa Mungu/ Watanzania walio wengi kuliko kuitwa Mwana wa Binti Farao"

Eee Mwenyezi tusaidie.

Na,
Dr Baraka Marco Nkondo.

My Take.
Serikali imeendelea kujificha kwenye kivuli cha uhakiki, kuwa kigezo cha kuto ajiri wahitimu wapya.
Pole sana mkuu!! umenikumbusha mbali sana!! bila kusahau wazee wa sifa MOI kwenye morning report hatari tupu!!

sasa kama daktari ambae ni muhimu hadi leo hajaajiliwa vipi idara zingine naona hapo watu wanasema AMO,,CO hawaju kua kuna baadhi ya procedure MD pekee ndo anayetakiwa kuperfom hii ikiwa kwamba if there will be any complication raise aweze kuimanage!!!
maana hao AMO and CO shule iko limeted wanafanya wengi kwa udhoefu ila inapotekea complication ile ya hatari wengi hawawezi wanaisha kureffer thn patient anapoteza uhai on the process!!

miaka mitano ni ming plus internship one year ni shida kabisa..lakini wananchi hawajui kama kuna sekta inahitajika uboreshaji ni afya maana mazingira si rafiki as doctor you can see that this patient is goin to die due to lack of facilities and equipments and all you can do is nothing inauma sana inachosha sana ila wananchi wao hawaioni wala kuthamin hii idara ya afya..

wakati nipo Dodoma pale kuna pyschologist mmoja anamsemo wake anaupenda sana kua...

“daktari huna rafiki hawa wote watakupenda wakiwa wanaumwa wakishapona hawana mda na wewe”..

bt let us save life
 
Hahaha MOI....Haonga, mcharo
Mnubi, *******, kategile, munseri nk
 
Ungefikiria kidogo mkuu huyu ni daktari moja kati ya sekta zenye upungufu wa watalamu na kule kijijini bibi yako na wangu wanakosa hawa watu, na Dada zetu wanapoteza uhai wakati wa kujifungua kwa sababu zahanati haini daktari!
Hawa madaktari graduates hawawezi kukubali kufanya kazi kwenye zahanati kijijini na hata mafunzo yao hayakulenga huko. Hakuna cost benefit ya wao kuajiriwa huko. Kuna CAs na COs (Clinical Assistants na Clinical Officers au Tabibu wasaidizi na Matabibu) ambao hufundishwa kufanya kazi za level hiyo ya zahanati na vituo vya afya.

All in all, wajibu wa serikali ni kusomesha vijana wake lakini kamwe si wajibu wa serikali kuwaajiri hao vijana. Laa sivyo serikali ingalisomesha idadi ndogo tu ya vijana inayokidhi kuajiriwa serikalini. Hakuna nchi ye yote duniani inayofanya hivyo. Wajibu wa serikali ni kiweka mazingira wezeshi ya wahitimu hawa kujiajiri wenyewe au kuajiriwa kwenye sekta binafsi hususani viwandani. Hivyo dogo asilalamike sana baada ya interniship. Asikate tamaa, ipo siku elimu aliyopata italipa.
 
Ningelikua nimesomea udaktari wala nisingehangaika na kazi za serikalini, ninge base private sector au international posting tu botswana, namibia, zambia, canada kote huko lakini sababu akili za Watanzania ni ndogo hua hawapendi kutafuta maisha nje ya Tanzania basi wanalia lia kama huyu daktari uchwara
Acha kujidanganya. Huko sijui botswana, namibia, canada, zambia nk ukosefu wa ajira kwa vijana wao is worse than us. Uliona kilichotokea Kenya tulipotaka kupeleka madaktari wetu. Acha kujidanganya kuwa after medical internship utapata an international post!
 
Anaandika Daktari Mpya mtaani...
aliyemaliza mafunzo ya utaraji (internship) katika awamu ya Tano inayo ongozwa na Chama cha Mapinduzi CCM.

"Jina kubwa" kuliko wallet.
Unakutana na classmate wako wa o level anakuita " kiongozi" mkuu" kamanda" na anaenda maili moja mbele anakuita " Daktari "
Meanwhile hauna kitu mfukoni zaidi ya nauli na maisha yako yamekuwa ya kuungaunga.
Hahahaa hapo ndo unatamani kumziba mdomo.
Unaanza kukumbuka Jinsi ulivyokomaa miaka mingi sana shuleni ukijidanganya ukipata jina kubwa la "Daktari" pengine na pesa zingekuwa nyingi.
Ndipo unakumbuka hauna kitu zaidi ya ujuzi wa udaktari kichwan na mikonon na hauna sehem ya " angalau " kuutumia huo ujuzi maana serikali " haiutambui uwepo wako"
Unakumbuka jinsi wazee wa Muhimbili walivyokusotesha miaka 5+ kwa kile wanachokiita " to satify the examiners " pamoja na kukuita " The cream of The nation " huku wengine wakikuita " mbuzi" mhuni " n.k
Unakumbuka ulivyovumilia matusi yote ukiamini ipo siku yatasahaulika.
Naam sasa unaona matusi yale ya wazee wa muhas yalikuwa nafuu pale unapotafta " angalau " ki jisehemu cha kujishikisha aka tempo halafu mtu anakuambia atakuajiri na atakulipa bei " sawa na mlinzi wa hospitali yake"
Unachukia sana ila hauna jinsi maana unakumbuka " utokapo " kwamba pengine usipofanya " kitu" kabisa wadogo na wazazi wako mambo " hayaendi kabisa "
Unaamua kutafuta kijiwe kingine na kingine ili angalau pamoja na kulipwa " hela ya mlinzi" majumlisho kwa hivyo vijiwe vitatu yaweze angalau kukidhi " baadhi" ya mahitaji yako ya msingi.

Masaa 24 daily uko kazini except siku ya ibaada. Sehem ya kulala ni kweny daladala ukiwa unahama kijiwe kimoja kwenda kingine.
Unakumbuka wimbo wa Kibaha school " struggle for success" Unaamua kukomaa hadi itakavyothibitika vingine.

Pamoja na hayo..

Ndipo unakumbuka wenzio "hawana vyeti" na ni wakuu serikalini achilia mbali "wenye vyeti feki"
Tena wanapiga pesa na masaa yao ya kazi ni mawili kwa siku wanapata na muda wa kwenda "gimu"
Wanalala kwenye " mahekalu "tena wakilindwa huku wewe unaegesha kwenye nyumba ya kupanga.
Unaambiwa wanaishi hivyo maana ni waunga mkono" juhudi " za mamlaka toka juu!

Ndipo unaposema kwa ujasiri kama alivyosema mtu wa Mungu Musa "ni heri kuteseka na watu wa Mungu/ Watanzania walio wengi kuliko kuitwa Mwana wa Binti Farao"

Eee Mwenyezi tusaidie.

Na,
Dr Baraka Marco Nkondo.

My Take.
Serikali imeendelea kujificha kwenye kivuli cha uhakiki, kuwa kigezo cha kuto ajiri wahitimu wapya.
Dr Mnubhi kama anakuona!
Pole daktari.Awamu hii vipaumbele ni bombadia na SGR
 
Huyu bwana siyo dakitari, maana kufuatana na kulalamika kwake na kuwaonea watu wengine kijicho eti wana pewa mshahara mkubwa! Na pia kudharau kazi za wengine na kuona kusoma miaka 5+ ni nyingi - hafai. Udakitari ni wito - huyu jamaa ni wale wanaouza figo za watu kupata hela akipata mwanya! Anatamani pesa kuliko! Kama umeshindwa kuajiriwa kwa kazi uliyo isomea unge mwambia huyo anaekuajiri kwa mshahara wa mlinzi akubadilishie kazi uwe mlinzi! maana kazi hiyo utaridhika nayo! Ila niseme huyu jamaa hayupo na habari hii imetungwa tu kusudi tuchukie serikali.
 
asee iyo struggle for success tumeimba sana enz hzo o level pale kibaha umenkumbusha mbali san mkuu
Wakati unaimba hyo nyimbo struggle for success mm nawauzia maandazi pale karibu na uwanja wa netball karibu kabisa na tumbi shule ya msingi Leo Nina maduka na mfanyabiashara mkubwa tu kweli elimu mwanaharamu kabisa ujasiriali Mali raha saana karibuni katika fursa 5+ yrs karaha tele katika medical lakin ndio hvyo

Polen saana
 
Mm niwape pole tuu maana matarajio ya wengi yamegeuka, sijui ni kwanini sekta ya afya inakosa nguvu ya kulisema hili, hatusemi kwamba iajiri kwa kuangalia wingi wa wataalamu bali iangalie mahitaji ya jamii ikiwa ni pamoja na kujenga vituo vya afya.
Waziri husika tunaomba uliangalie hili.
 
Ningelikua nimesomea udaktari wala nisingehangaika na kazi za serikalini, ninge base private sector au international posting tu botswana, namibia, zambia, canada kote huko lakini sababu akili za Watanzania ni ndogo hua hawapendi kutafuta maisha nje ya Tanzania basi wanalia lia kama huyu daktari uchwara
Mkuu sikuhz Botswana hawachukui saana ile miaka ilikuwa program maalumu kwasababu Botswana swala elimu ilikuwa chini saana na maswala ya afya pia kwahyo ulikuwa unaajiliwa kwa mkataba maalumu
Lakin sasa wataalam wamejaa tele huko

Nilikuwa huko mwaka Jana kibiashara mambo yamebadilika sana
 
Tanzania kada za muhimu kama madaktari n.k zinadharaulika sana na umuhimu wake ni kama tissue paper unaithamini wakati una uhitaji nayo tu, ukimaliza shida zako unaiacha na hauikumbuki
Kuanzia katika majeshi ya ulinz na usalama,katika afya,katika elimu hzo ndio kazi za wito na mishahara yake n kidigo sana
 
Kuna AMO, CO ni ma cheap labors......serikali inapunguza Wage-Bill...Mshahara wa kumlipa Daktari wa Degree Serikali haina, kwahiyo Mvumilie tu.
cheap is always expensive. Unfortunately the expensive here is death.
Sasa wewe endelea kuwaamini hao CO,AMO ndo final line yako ya wataalam.
Hapa unaambiwa walimu wa sekondari wanarudishwa kufundisha msingi sasa huko kwenye kupigania uhai ndo unataka iwe tofauti. Ulofa ni mbaya sana kwa ustawi wa binadamu.
 
poleni sana aiseee ndo hali halisi iliyopo kwakwel hata kwetu sisi watu wa sociology tuliisha zoea tu
 
Chuoni mlifundishwa ENTERPRENEURSHIP, kwahiyo usilalamike hapa.....SERIKALI Inapunguza Wage-Bill na sio kila Muhitimu lazima aajiriwe na serikali....OVa
Kinachonisikitisha zaidi huenda wewe ukawa mwalimu serikalini pamoja na kurudishwa primary ila bado umeng’ang’ania tu
 
Back
Top Bottom