Kilio cha Kigwangala

Mimi huwa naandika ukweli siku zote ila kwa sababu wewe ni muumini wa kudanganywa ndo maana huamini ninachoandika. Ukiacha kuwa mpumbavu utakuwa unazielewa nyuzi zangu.
 
DAh nilikuwa kwenye mood mbaya ila umenirudisha kwenye furaha sana kwa hilo tukio la wazee kuchuchumaa mpaka wakawa wanapepesuka
 
Ila to be honest hakuna kitu kilikuwa kinaniuma kama kumuona huyu jamaa amechukua fomu ya kugombea urais na ukijumlisha akili za wajumbe nilikuwa natetemeka tu maana wajumbe hawatabiriki wanaweza kumpitisha hata kichaa
 
A friend in need, is the friend indeed.
 
Laana ya kumtelekeza Baba bado inakutafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…