Kilio cha Kigwangala

Hamis alijisahau. Kwenye hizi wizara kuna watu hawana umaarufu wala elimu kubwa ila wanaweza battle na waziri na huyo waziri akang'oka.
Katika siku ambazo umeandika ukweli ni leo. Na ndiyo maana nchi iko hapa ilipo. Mtu kama Abdul akiku-mind hata kama wewe ni kiongozi mzuri vipi basi utaondolewa. Kigwangala ni wale wale tu hana tofauti na Makonda au Kibajaji shinda ni kuwa ametupwa nje ya ulaji. Mpaka nchi itakapota viongozi wazuri na siyo mazuzu kama Samia ndiyo tunatatoka hapa tulipo.
 
Mbona huu jamaa alikuwa tajiri? Nini kimejiri mpaka aanze kulialia hivi? Ana chuo cha VETA, ana kiwanda cha kuchakata pamba, ana kiwanda pia cha kuchakata mpunga sasa shida ni nini hasa? Anajidhalilisha aisee!
Miradi mingi inashindwa kujiendesha
 
Umesema kwa uchungu sana mkuu. Kuna la kujifunza hapa.
Good kwamba amekuwa honest na ame-share huu uzoefu, japo ni kitu obvious.

Kinachonishangaza ni kwamba nje ya ubunge, nje ya uwaziri wengine huwa honest na kuonyesha 'utu' nk. Ni huyu huyu Hamisi ndio alinyanyasa watu na vitisho tele akiwa pale wizara ya maliasili.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ogopa Mungu na tech😂
Saa hizi anayo kampeni ya kufuta tweets zake fulani ambazo kwa wakati huo aliandika akiwa kwenye meza iliyojaa vyakula zilijaa dharau na majigambo sasa anaona zitamhukumu hivyo kafuta tweeta nyingi sana.
 
Saa hizi anayo kampeni ya kufuta tweets zake fulani ambazo kwa wakati huo aliandika akiwa kwenye meza iliyojaa vyakula zilijaa dharau na majigambo sasa anaona zitamhukumu hivyo kafuta tweeta nyingi sana.
Hataweza kuzimaliza zote watu wanazo tayari
 

Umenikumbusha story moja

2018 uncle aliniita msalato nikapige nyama. Kufika nikakuta vijana wengine na crew ya wazee wa heshima. Nikatambulishwa among them alikuepo marehemu Dr Chacha. Aliwahi kushika nyadhifa ya uwaziri na that time namjua alikua ameshatumbuliwa uwaziri akawa lecture pale St John’s

Baada ya pale kuna jamaa nikazoeana nae.. akaja nipa story kua Dr Chacha baada ya kuupata uwaziri aliwadamp washikaji zake wote even his familiy.. akawa hataki mazoea. Baada ya kutumbuliwa akarejesha ushkaji ata iyo kazi pale St Johns akina Uncle ndo wamemuunga.

The time I know him alikua very humble, anatembelea zake Verosa ukipiga nae story ni mtulivu sana.
 
Ameongea kinyonge sana
Syo hamis yule tunayemjuwa mzee wa majivuno
Au anatafuta sympathy ya raia 😄

Ova
Ila ana akili ndogo sana huyu jamaa angekaa kimyq tusingejua upumbavu wake
 
Huyu watu wake wengi wa karibu aliwatupa alipokuwa kwenye channel 😄
Hajuwi mtaji ni watu

Ova
Yaani akae kwa kutulia wakati wa jiwe wenzake wakipitishwa kwenye tanuru la moto yeye alikuwa chamdeko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…