Kilimo na Soko la Bamia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimo na Soko la Bamia

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by M-pesa, Nov 5, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwenye kufahamu ufanisi wa hiki kilimo atujuze mambo yafuatayo:
  1) Mbegu bora zinapatikana wapi?
  2) Zinachukua muda gani kukomaa?
  3) Masoko yake yako wapi?
  4) Bei ya kuuza inakwendaje?

  Asanteni.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu hongera kwa aidia nzuri sana,

  ninavyo fahamu kuhusu bamia kwa sasa soko lake ni kuuza kwenye masoko yandani kama kariakoo na kwingineko.

  Ila kama utaweza kupaki freshi unaweza kju export kwenye soko la ulaya kuna demand ila kumeet standardzao c kitu cha mchezo.
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kuna kilimo cha contract cha bamia na kampuni ya multiflower kama vp ni PM nikupe full data
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  naomba nijue bamia in english please

  samahani kuuliza ni kuelimika pia
   
 5. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Majina mawili yanatumika, "Okra" au "ladies fingers plant".  Angalia video youtube, zipo nyingi zinazoelezea jinsi ya kukuza hilo zao..
   
 6. M

  Mangolo Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  bamia kwa siku hizi limekuwamoja ya mazao yenye faida kwa mkulima
  mbegu zipo kwenye maduka ya pembejeo
  zipo zinazokomaa kwa siku 45 na kuendelea
  soko ni njenje kwa mijini
  kipimo chake ni plastiki ya lita 20 na lita 10
  bei inategemea na uwingi wake sokoni
  lakinni haina hasara ya kutisha
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mimi nimelipenda hilo la hapo pekundu !!!!!!!!!!!!!
   
 8. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri. Nishindwe mwenyewe kufanya mchakato.

   
 9. ray mark

  ray mark Member

  #9
  Mar 5, 2014
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba kupata elimu hii kwani nipo kwenye maandalizi ya upandaji wa zao hilo la biashara.
   
 10. r

  robbert Member

  #10
  Mar 8, 2014
  Joined: Feb 18, 2014
  Messages: 54
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  hakuna zao lenye pesa kama hili!
   
 11. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2014
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,455
  Likes Received: 2,510
  Trophy Points: 280
  wakuu magonjwa yanayoishambulia bamia ni yapi na dawa zake....af pia nmesikia kuwa aina za bamia znapendelewa kutokana na eneo,kwa mfano Dodoma bamia zenye mgongo zinapendelewa sana kuna ukweli juu ya hili!?
   
 12. serio

  serio JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mkuu, hiyo program bado ipo?
   
 13. E

  ELVISLILY Member

  #13
  May 20, 2014
  Joined: Jun 15, 2013
  Messages: 57
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Hi
  Plz napenda kujua pia khs hiki kilimo
   
 14. s

  selemman Member

  #14
  May 20, 2014
  Joined: Feb 18, 2014
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bamia uzuri wake unachuma kipindi kirefu mno
   
 15. E

  ELVISLILY Member

  #15
  Jun 11, 2014
  Joined: Jun 15, 2013
  Messages: 57
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Vp ulilima kdg hilo zao?una uzoefu kdg,naomba unisaidie mawazo M-pesa 0688064675 nitext nitakupigia
   
 16. Mathematician

  Mathematician JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2014
  Joined: Nov 8, 2009
  Messages: 326
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamani tunaomba input zenu katika hili.

  cc Malila
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. s

  shobya New Member

  #17
  Oct 23, 2015
  Joined: Oct 21, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hao Multflower wanakuwa na Mishe gani kaka kuhusu kilimo cha bamia?
  Naomba uniunganishe please
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2015
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Asante,

  Moja ya vitu niliyojifunza ktk kilimo ni kuto dharau mazao yasiyo na majina, kama vile bamia,ulezi,uwele,mbaazi na magimbi. Nilisafiri na jamaa mmoja, yy anauza ulezi tu,na anapiga ela kimya kimya.

  Nirudi kwenye bamia soko la bamia ni la ndani zaidi na la uhakika. Kadri ulimwengu unavorudi kwenye organic materials,ndivyo ambavyo masoko ya vitu local yanavyopanda
   
 19. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,097
  Likes Received: 11,238
  Trophy Points: 280

  Kuna wakati nilijaribu bamia sikupata positive results.
  Ila najipanga kwa awamu ya pili.
   
 20. Kubota

  Kubota JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2015
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 533
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 60
  Nililima Bamia kiangazi, za kumwagilia kwa pump!! Bei niliyopata nilipoanza ilikuwa 4000 ilishuka hadi 3000 kwa debe moja la ujazo wa lita 20. Ustawi wa bamia ulikuwa wa kawaida nilikuwa natoa ndoo 13 kwa eneo la robotatu eka mavuno ni mara mbili kwa wiki. Naamini kwa ekari moja nigevuna debe 20. Kunastori watu huvuna debe 30 au zaidi kwa eka mimi hizo sikuziona. Huwa zinashambuliwa sana na ukungu uitwao ubwiri unga, pia hushambuliwa sana na utitiri mwekundu na aphids. Kwa hiyo kila wiki dawa ya ukungu na sumu ya wadudu, ulipe mpiga dawa, petrol ya kumwagilia na malipo ya mmwagiliaji, wachumaji kila debe 1000/=.

  Ili uone pesa ya bamia lima masika, lima eneo kubwa kama ekari kuanzia 3. Kumbuka eneo unalovuna debe 1 bamia eneo kama hilo ungevuna debe 10 za nyanya. bei ya bamia iikifikia chini ya 4000/= debe hailipi !!!!!
   
Loading...