Kilimo kwwanza kitaondoa adha hii

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Inasikitsisha ukitazama picha hizi za ndugu zetu wa Somalia, ethiopia. Sasa kenye ndio ina kambi kubwa ya wakimbizi duniani.

Lakini hii inatukumbusha matatizo ya njaa hata sisi yako karibu yetu kwasabbau kama walivyo wasomali na wethiopoa mifugo na iklimo chao ni cha kutegema mvua.

_53875717_jex_1098128_ico27-1.jpg
 
Kilimo cha kutegemea mvua ni patapotea bila umwagiliaji tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom