kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,932 8,199 Jan 13, 2016 #4 Naona kilimo kimemkubali mkulima....
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 13, 2016 #5 Mamaaaa kumbe ndio wanavolimaga hivi. Nahitaji niwe bwana shamba wake.
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,415 38,701 Jan 14, 2016 #6 Tatizo mnaambiwa kula mboga za majani mnavunga.mi nakulaga tu.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 Jan 14, 2016 #8 Kipindi cha sikukuu alienda kupumzika kidogo nyumbani kwao. Na kama ujuavyo mgeni wa kuelewa lazima ajichanganye kwenye kazi za hapa na pale. Bastola zake si haba
Kipindi cha sikukuu alienda kupumzika kidogo nyumbani kwao. Na kama ujuavyo mgeni wa kuelewa lazima ajichanganye kwenye kazi za hapa na pale. Bastola zake si haba
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,262 Jan 15, 2016 #10 salaniatz said: Click to expand... Bustani za sukuma wiki kwenye viunga vya Nairobi rafiki, na huyo dada ana shepu nzuri sana,nimemtamani. Last edited: Jan 15, 2016
salaniatz said: Click to expand... Bustani za sukuma wiki kwenye viunga vya Nairobi rafiki, na huyo dada ana shepu nzuri sana,nimemtamani.
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 Jan 15, 2016 #11 Sasaaa... mbona mbegu za mahindi amebeba kwenye nguo alizovaa?? Sio viroba ivo??
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Jan 16, 2016 #13 real G said: wanaziita sukuma wiki Click to expand... Na yeye atakua msukuma au?
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 Jan 17, 2016 #14 Huyo dada naona mboga yake nzuri na imestawi kweli kweli.
Werrason JF-Expert Member Nov 5, 2014 12,325 38,200 Jan 17, 2016 #15 Red Scorpion said: Na yeye atakua msukuma au? Click to expand... Msukuma kwenye bustani ya Sukuma.
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 Jan 23, 2016 Thread starter #18 WAKUU HUYO NI MHAMASISHAJI WA KILIMO KWANZA NAAMINI KITAFANIKIWA KWA HOST HUYO
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 Jan 23, 2016 Thread starter #19 kijani11 said: Naona kilimo kimemkubali mkulima.... Click to expand...