Kilimo cha Mpunga kitaalam na masoko yake


P

papillon

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Messages
122
Points
195
P

papillon

Senior Member
Joined Mar 21, 2012
122 195
Mazao gani unaweza lima, Shamba la mpunga baada ya kuvuna mpunga.?
Huku nilipolima Sijaona watu wakichanganya mazao mengine baada ya kuvuna. Maeneo ni chepechepe , mazao mengine yatashindwa kuota vizuri.
 
M

Mandevis

Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
70
Points
95
M

Mandevis

Member
Joined Sep 1, 2015
70 95
Mimi nililima shamba la mpunga Nyatwali Irrigation Scheme(Bunda) nilipata gunia 43 kwa ekari moja baada ya kufuata maelekezo ya kitalaam.
Maelezo yako yamenivutia. Je unaweza kunimegea kidogo hayo maelekezo ya kitaalam? Mimi nina eneo la (70 X 70) X 10 kando ya mto usiokauka mwaka mzima.
 
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
13,787
Points
2,000
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
13,787 2,000
Bei ya gunia la mpunga kwa shilingi ngapi kwa Morogoro?
 
The hammer

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
2,278
Points
2,000
The hammer

The hammer

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
2,278 2,000
Maelezo yako yamenivutia. Je unaweza kunimegea kidogo hayo maelekezo ya kitaalam? Mimi nina eneo la (70 X 70) X 10 kando ya mto usiokauka mwaka mzima.
Eneo lipo wapi mkuu.
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Points
225
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 225
kwa anayependa kumiliki eneo lake kwa kilimo cha mpunga kwa bei isiyozidi laki moja
1464412611389-jpg.351567
1464412611389-jpg.351567
 
gimmy's

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
2,493
Points
2,000
gimmy's

gimmy's

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
2,493 2,000
Weka taarifa muhimu mf liko wapi,kuna umwagiliaji ama la l,etc
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
16,691
Points
2,000
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
16,691 2,000
hamna asiyependa ila ni muhimu kufahamu eneo lenyewe liko wapi, ni accessible na pia kama linazalisha vyema
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Points
225
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 225
Mashamba yanapatikana kijiji cha iyendwe,kasinde na vijiji vingine ambavyo sivifahamu vizuri,umwagiliaji bado haujafika huko ila kuna Mito ya kutosha ambayo mvua ikinyesha hata Mara mbili inatililisha maji kwa msimu mzima pia mpango wa kupeleka miundombinu ya umwagiliaji ipo ktk mpango wa serikali kwani ni eneo kubwa zaidi ya hekta 60000 pia upande wa kipato kwa shamba ambalo ndiyo Mara ya kwanza kulimwa kipato si kizuri ina range kwenye gunia 10-20 za debe 7 ila kama shamba si jipya kipato ni gunia 20-30 kwa kilimo cha kawaida si kitaalamu
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Points
225
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 225
Barabara kipindi cha masika si nzuri sana inabidi uzunguke ila kuanzia mwezi wa 6 barabara zinapitika vizuri,umbali kutoka barabara ya lami iendayo sumbawanga hadi shambani ni km 10 hadi km 22
 
LOGARITHM

LOGARITHM

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2010
Messages
761
Points
250
LOGARITHM

LOGARITHM

JF-Expert Member
Joined May 5, 2010
761 250
Kiasi hicho cha pesa kwa ukubwa kiasi gani wa hilo shamba. Hebu eleza kwa undani unaostahili. Taratibu za umiliki zikoje?
 
Kaplizer

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Messages
496
Points
250
Kaplizer

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2014
496 250
Mleta mada mbona hajielewi yaani hata taarifa mhim hakuna tunataka kujua n mkoa gani
 
popo1986

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Messages
1,122
Points
1,250
popo1986

popo1986

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2014
1,122 1,250
Tupatie hata namba mleta mada mbona upo Partially sana au ndio mkulima original?
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Points
225
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 225
mnisamehe bure ndugu zangu lengo langu ni zuri tu haya mashamba yapo wilaya mpya ya Momba mkoa mpya WA SONGWE,namba yangu 0754-487943
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Points
225
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 225
Hicho kiasi ni kwa ekari moja pia taratibu za umiliki unaponunua unahusisha uongozi wa kijiji kwani wanaouza ni wenyeji pia ikumbukwe hilo eneo lililuwa eneo la kuwindia wanyama hadi pale wafugaji wakisukuma walipofika eneo hilo na taratibu watu wakaanza kulima mpunga
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
10,845
Points
2,000
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
10,845 2,000
Hicho kiasi ni kwa ekari moja pia taratibu za umiliki unaponunua unahusisha uongozi wa kijiji kwani wanaouza ni wenyeji pia ikumbukwe hilo eneo lililuwa eneo la kuwindia wanyama hadi pale wafugaji wakisukuma walipofika eneo hilo na taratibu watu wakaanza kulima mpunga
Wasukuma huko Mbeya na Songwe wanachukuliwa kama watu wa aina gani naomba ufafanuzi... isije kuwa mnawaona kama Aliens... Hilo kabila ni kubwa na halina jinsi zaidi ya kusambaa nchi nzima kuokoa mifugo yao na kumaintain status yao... nadhani wanaata shida sana kuhamia sehemu zingine kuishi na wajirani wapya hadi wazoeane huchukua muda sana... ila hubaguliwa kama walivyo Wapemba,Wamakonde,Wagogo,Wamasai na Wachagga yaani Makabila Mengi huwa hayajisikii salama 100% kama wakiishi na hayo Makabila baina...
 
3

37 muzzy

Member
Joined
May 28, 2016
Messages
21
Points
45
Age
37
3

37 muzzy

Member
Joined May 28, 2016
21 45
maelezo hayajatoseleza hebu tuambie utaratbu wa kupata huyo mhusika
 
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
162
Points
225
Age
3
L

Lucas Mganda

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
162 225
ni vizuri ukinipigia nikakupa utaratibu mkuu kwani hata Mimi hiyo sehemu nilikuwa siijui ila juzi kati ilibidi niende nikaangalie hayo mashamba
 

Forum statistics

Threads 1,293,769
Members 497,735
Posts 31,152,863
Top