Mr peasant
Member
- Mar 4, 2019
- 12
- 13
Karibu kwenye kilimo mkuu, inaonekana ndiyo mara ya kwanza..
Malinyi sehemu gani mkuu ,niliwahi kulima maeneo ya salamiti heka moja ilikuwa inatoa 25-30 debe 7
Inategemea na mfumo uliotumia katika kupanda, he umepanda Kisukuma au kutaalam? Kama Kisukuma utapata gunia kati ya 50-60 lakini kama umepanda kitaalam utapata kati ya gunia 125 na 150!Nimelima hekari tano za mpunga mkoani morogoro wilaya ya malinyi je naweza vuna gunia ngapi wakuu anisaidie kwa alie na uzoefu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki hiyo ukiwa na swali uliza.Jamani naomba kufahamu ukweli kuhusu Kilimo cha umwagiliaji cha mpunga nimepata taarifa sasa nahitaji kujua zaidi taarifa nilizopata nikwamba.kukodi hekta 1 ni 800,000/=Kulima 100,000/=,kurudia kulima 80000/=,Kupanda 180000,Mbolea 300000,kuvuna na mashine 180000 JUMLA ni kama 1700000.kwa kila hekta na Mavuno yanakisiwa 7.5 tani, Je hapa kuna ukweli naomba kama kuna mzoefu atupe ukweli wa hii skim
Sent using Jamii Forums mobile app