Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

Hizi ni Dawa hutakiwa kuwekwa baada ya mche kuwa na true leaves nne. Hunyunyizwa kwa kutumia pump ya mgongo kwenye uvungu wa jani LA mche
1:Eshafeni 50mgs:hii ni kwa ajili ya wadudu wa nje,
2:Denadin 30mls:hulinda mizizi ya mche,
3:Agrofid 50mls:mbolea
4:Agra 90mls:hoi no gundi ambayo husaidia kugandisha virutubisho na Dawa kwenye jani.
Hiyo michanganyo minne unachanganya ktk Lita 20 za Maji,
Fuata mtililiko niliokupa ukikosea zinatoa povu jingi na utashindwa kujua maji uliyochanganya ni kiasi gani
 
Nahitimisha kwa kuwahusia Dawa hizi bora uagize Kenya sababu kule wanazingatia Sana na hawauzi Dawa zilizoaribika sheria ni kali.
Bongo utalia
 
Salama mkuu!
Moro naishi Turiani karibu kabisa na mtibwa teak forest.
Mbegu zipo zakutosha kulingana na shehena ya uhitaji wako.
Bei yangu inavary kulingana na wingi wa miche(stamps) utakazo.
Mathalani kama order yako itafikia miche 3200(ambayo unaweza panda ekari5) ntakuuzia kwa sh250 kila mche na kutakuwa na offer ya miche 300 bure!
Ikiwa order yako ni zaidi ya miche 16000 bei itapungua hadi 200@mche na kutakuwa na nyongeza ya miche 1000.
Utaratibu ni unalipia 50% ya mzigo na 50% nyingine utamalizia on delivery day.
Kama utahitaji huduma ya kupandiwa kitaalam, mimi na team yangu tupo tayari kukuhudumia popote lilipo shamba.
Karibu sana mkuu!
Jahitaji miche 4000 asap
 
Mkuu cumins miche ipo utapata.
Japo nimechelewa kuuona wito wako, lakini hakuna kilichoharibika.
Ngoja nipitie PM yako then ntarudi kwako tena.
Karibu sana mkuu!
 
Salama mkuu!
Moro naishi Turiani karibu kabisa na mtibwa teak forest.
Mbegu zipo zakutosha kulingana na shehena ya uhitaji wako.
Bei yangu inavary kulingana na wingi wa miche(stamps) utakazo.
Mathalani kama order yako itafikia miche 3200(ambayo unaweza panda ekari5) ntakuuzia kwa sh250 kila mche na kutakuwa na offer ya miche 300 bure!
Ikiwa order yako ni zaidi ya miche 16000 bei itapungua hadi 200@mche na kutakuwa na nyongeza ya miche 1000.
Utaratibu ni unalipia 50% ya mzigo na 50% nyingine utamalizia on delivery day.
Kama utahitaji huduma ya kupandiwa kitaalam, mimi na team yangu tupo tayari kukuhudumia popote lilipo shamba.
Karibu sana mkuu!
Ni-PM namba yako, unayotumia whatsap ni nzuri zaidi
 
Samahani mkuu huwa situmii whatsap. Mambo yote namaliza hapa hapa JF tena kwa uaminifu uliotukuka.
Vinginevyo kama utahitaji mawasiliano yangu tuongee sitasita kukutumia.

Yes ni-PM namba yako
 
Kama nimiaka kumi bora lakini miaka hamsini?kwaheri

Usikate tamaa haraka hivyo! Mitiki huanza kuvunwa kutokana na matumizi kuanzia miaka 5, 10, 15 hadi 20. Kwahiyo wewe jifanye mjinga leo panda halafu jifanye kama umesahau hivi kisha utakujaniambia siku moja. Tatizo letu Watanzania tunapenda pesa ya harakaharaka na subira hatuna. Hivi kama kipato cha mtu kwa mwaka ni milioni 10 ina maana kwa miaka 10 atakuwa ametengeneza jumla ya milioni 100 ambazo hana mfukoni. Sasa kwa kupanda mitiki 1000 kwa mfano halafu baada ya miaka 10 ukauza kila mti Tsh 60,000/= utakuwa umetengeneza kiasi gani? Amka ndugu yangu.
 
Sisi watanzania bado sana sana.
Utakuta mtu hana wasiwasi kabisa ameridhika na maisha ati kisa ana fixed acount kaweka milioni 10.
Alafu anasema amejiandaa kwa future life ya familia yake.
Future sio pesa ambazo zipo benki ni jinsi gani umewekeza kwa kutumia hizo pesa.
Natoa mchanganuo kidogo wa hizo m10 endapo ukiwekeza.

2 milioni naweka benki (dharula)
3 milioni nanunua shamba ambapo tuseme utapata heka 10.
1 milioni unatayalisha shamba.
2 milioni unapanda mitiki ambapo unaweza panda mitiki 10000 .
2 milioni itahudumia shamba miaka 3

Je ndani ya miaka mitatu utakuwa wapi utakuwa ktk levo nyingine ya maisha.

Shambani kwangu nina mitiki 10000.na mwezi wa 11 nimenunua stumps za mitiki kwa mwana JF humu ndani MR KISIMA. Nihitaji 5000stumps japo nimepata 3000.
In three years to come huwezi nifananisha na yule aliyeweka pesa benki.
Hata kama miti ikifa bado ardhi ipo na thamani imepanda.
Japo kuwa palikuwa na changamoto za hapa na pale .
Tusiogope kuwekeza.[ATTA
IMG-20170101-WA0014.jpg
CH=full]453705[/ATTACH]
 
Attachments

  • IMG-20170101-WA0011.jpg
    IMG-20170101-WA0011.jpg
    130 KB · Views: 103
Sisi watanzania bado sana sana.
Utakuta mtu hana wasiwasi kabisa ameridhika na maisha ati kisa ana fixed acount kaweka milioni 10.
Alafu anasema amejiandaa kwa future life ya familia yake.
Future sio pesa ambazo zipo benki ni jinsi gani umewekeza kwa kutumia hizo pesa.
Natoa mchanganuo kidogo wa hizo m10 endapo ukiwekeza.

2 milioni naweka benki (dharula)
3 milioni nanunua shamba ambapo tuseme utapata heka 10.
1 milioni unatayalisha shamba.
2 milioni unapanda mitiki ambapo unaweza panda mitiki 10000 .
2 milioni itahudumia shamba miaka 3

Je ndani ya miaka mitatu utakuwa wapi utakuwa ktk levo nyingine ya maisha.

Shambani kwangu nina mitiki 10000.na mwezi wa 11 nimenunua stumps za mitiki kwa mwana JF humu ndani MR KISIMA. Nihitaji 5000stumps japo nimepata 3000.
In three years to come huwezi nifananisha na yule aliyeweka pesa benki.
Hata kama miti ikifa bado ardhi ipo na thamani imepanda.
Japo kuwa palikuwa na changamoto za hapa na pale .
Tusiogope kuwekeza.[ATTAView attachment 453707CH=full]453705[/ATTACH]

Kaka acha watu walale japokuwa tunawaamsha hawataki kuamka. Mitiki inalipa na ndio habari ya mjini kwa sasa. Wajanja wote wamekimbilia huko au wana mpango wa kulima. Wengine wapo busy kuuliza ili wapate taarifa sahihi waweze kulima. Binafsi nina ekari zangu kadhaa huko Morogoro na nina mpango wa kutanua shamba kidogokidogo mpaka lifike ekari mia moja. Panapo uhai na majaliwa ya Rahmani baada ya miaka kumi au kumi na tano nitakuwa level nyingine kabisa. Tuzidi kumuomba Mungu atufanyie wepesi na awazindue wengine waliolala wapambane na umaskini kwa vitendo.
 
Jambo jingine zuri ktk kilimo cha mitiki ni kuwa hakikuzuii kufanya shughuli zako nyingine za maendeleo. Wakati unaisubiri mitiki mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
 
Sisi watanzania bado sana sana.
Utakuta mtu hana wasiwasi kabisa ameridhika na maisha ati kisa ana fixed acount kaweka milioni 10.
Alafu anasema amejiandaa kwa future life ya familia yake.
Future sio pesa ambazo zipo benki ni jinsi gani umewekeza kwa kutumia hizo pesa.
Natoa mchanganuo kidogo wa hizo m10 endapo ukiwekeza.

2 milioni naweka benki (dharula)
3 milioni nanunua shamba ambapo tuseme utapata heka 10.
1 milioni unatayalisha shamba.
2 milioni unapanda mitiki ambapo unaweza panda mitiki 10000 .
2 milioni itahudumia shamba miaka 3

Je ndani ya miaka mitatu utakuwa wapi utakuwa ktk levo nyingine ya maisha.

Shambani kwangu nina mitiki 10000.na mwezi wa 11 nimenunua stumps za mitiki kwa mwana JF humu ndani MR KISIMA. Nihitaji 5000stumps japo nimepata 3000.
In three years to come huwezi nifananisha na yule aliyeweka pesa benki.
Hata kama miti ikifa bado ardhi ipo na thamani imepanda.
Japo kuwa palikuwa na changamoto za hapa na pale .
Tusiogope kuwekeza.[ATTAView attachment 453707CH=full]453705[/ATTACH]

Mkuu naomba mawasiliano yako pm kama hutojali, nahisi ningeweza kuhitaji msaada wako juu ya hii kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom