Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Waye matikitik maji yanauzwa pale Runzewe na ushirombo huwa yanalimwa wapi?
 
Nimefanya majaribio nimelima mbegu aina ya sugar baby f1 nikisha vuna nitaleta mrejesho kwa sababu nimenunua shamba rasimi kwa ajili kilimo cha tikiti maji awamu ijayo nategemea kupanua eneo kutoka nusu eka mpaka heka mbili kwa sababu nitakua na uzoefu
 
Npe namb yko ndugu tubadilishane uzoefu
 
Mie nipo tabora nalim matikit ila natafuta SOKO la uhakika pare kwa AZAM nasikia wanatoa kadi za uanachama then unakuwa ukiwa umeivisha mzigo wanaagiza gari na wao wananunua kW kilo na pesa nasikia wanakutumia tu msaada kwa mwenye ufahamu na hili
 
Nina hekari 3 mwezi wa 9. Hili soko ningependa kulijua sasa ili nichukue kadi ya uanachama..
Alafu kila siku napita apo azam kiwanda cha matunda pale karibu na Vikindu ila nilikuwa sijui huo mchongo
 
Nina hekari 3 mwezi wa 9. Hili soko ningependa kulijua sasa ili nichukue kadi ya uanachama..
Alafu kila siku napita apo azam kiwanda cha matunda pale karibu na Vikindu ila nilikuwa sijui huo mchongo
Nimejarb kufuatilia kumbe wao AZAM hawanunui matikit kwakuwa bado hawana juice ya tikiti ndivy walivyo njb et kwan taarifa ya unnuz nilipewa na MTU kumbe ni rumors tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada mie ni mkulima niliezoea kulima MBEGU ya sukari f 1
Sasa naambiwa kuna zingine zinaz Fanya vizur kwa ukubwa na rang nzur kama sugar queen,,
Balton f1
King sugar
Pato f1
Na zinginezo je ukwer ni UPI IP ni MBEGU nzur inayokwa na matokeo bora kwa matunda yake natanguriza shukrani ndg zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balton f1 nilijaribu matunda yake yalikuwa makubwa sana, siwezi kutoa hitimisho kuwa ni bora zaidi sababu sijajaribu hizo mbegu zingine..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…