Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

Sisi pia tulikuwa tunaita Karanga (Masyabhara)kwa kilugha. Tulicheza sana utotoni wakati wa msimu wake lakin tulivyozid kuwa wakubwa upatikanaji wake ulikuwa adim na hii imechangiwa sana na kuongezeka kwa mqtumizi ya huu mti kwa ajili ya kupasua mbao na kutengenezea mkaa.
ndilolo
 
Nimekula sana Kadamia miaka 10 iliyopita.
Nakumbuka tulikuwa tunacheza hadi kamari ya kadamia kwa kuzamisha kwenye vishimo na kulenga.
Ukiacha kula kwa kupasua na kutafuna, pia hutwangwa na kuungwa kwenye mboga.
Nakumbuka miti mingi kuiona na mkoani Mbeya, tarafa ya Busokelo.

Nje ya hapo sijawahi kuiona TENA popote licha ya kutembea mikoa mingi.
Nakubali kwamba mmea huo unapotea.
Brother mshana, kuna matumizi mengine unifahamishe isije ikawa fursa?
Kuna jamaa kaweka link hapo kilo moja si chini ya $30 yaani elfu 60 na ushee
 
Ni kama tunda nyama yake ya ndani kama nazi
b0ff63692f09cf8e3f406352dc780c8a.jpg
Kule kwetu zamani tukiwa wadogo tulikuwa tukiita Korosho
 
macadamia zinalimwa sana Tanga, Sahara mission kama sijakosea, shamba lile lilianzishwa 1945 na wakatoriki, na kipindi hicho nuts zilisafirishwa kwenda Ndanda kule Lindi.

Kwa sasa zimeanza kusambaa maeneo nje ya Tanga kama Rungwe, pia nimepata taarifa kuwa kule Uchindile kuna Wakenya wameanza kilimo hiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom