KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Habari mkuu, naweza pata contacts za hivyo vikundi?
Kiwanda cha Azam,ni soko la UhakikaWakuu, hivi ni wapi soko kubwa la embe? Mahitaji ya soko yako vp, zinazopatikana ni kiasi gan na zinatoka wapi?
Maembe yako ya aina nyingi, sidhani iwapo Azam wananunua kila aina ya embeKiwanda cha Azam,ni soko la Uhakika
Wananunua mdau,nimejaribu kufatilia hilo piaMaembe yako ya aina nyingi, sidhani iwapo Azam wananunua kila aina ya embe
nashukuru kwa kufuatilia, utaratibu wao wa kununua uko vipi? bei?Wananunua mdau,nimejaribu kufatilia hilo pia
Sijajua bei ila wananunua kwa TANI,nashukuru kwa kufuatilia, utaratibu wao wa kununua uko vipi? bei?
Kumekuwa na malalamiko kuwa ili uweze kuuza Azam, ni lazima upitie kwa dalali, je kuna ukweli kiasi gani kuhusu hilo?Sijajua bei ila wananunua kwa TANI,
Sina uhakika kwenye hilo,lakini mbona pale Azam kiwandani ndiko malori yanakwenda kupaki kusubiri utaratibuKumekuwa na malalamiko kuwa ili uweze kuuza Azam, ni lazima upitie kwa dalali, je kuna ukweli kiasi gani kuhusu hilo?
Nenda pale azam uone watu wanavyopangishwa foleni naalori yao mpk maembe yanaozea hapohapo nje ya geti ni full bureaucracy tu.Kiwanda cha Azam,ni soko la Uhakika
Shida hiyo,na inatokana na nini?Inatokana na kuwepo kwa mnunuzi MKUU MMOJANenda pale azam uone watu wanavyopangishwa foleni naalori yao mpk maembe yanaozea hapohapo nje ya geti ni full bureaucracy tu.
Hio ndio shida kuu kuliko zote mkuu,haiwezekani nchi nzima tunalima tukiwaza kumuuzia Azam ni ajabu sana kwa kweli.Shida hiyo,na inatokana na nini?Inatokana na kuwepo kwa mnunuzi MKUU MMOJA
wewe umesema umefatilia, but sio kweli, hujafatilia chochote, majibu yako kwa kila unachoulizwa unajibu, sijui, sina uhakika. Nakuomba hujafanye tafiti, then uje uchangie madaShida hiyo,na inatokana na nini?Inatokana na kuwepo kwa mnunuzi MKUU MMOJA
Soko la maembe ni pana, tatizo ni kufikia kiwango kinachohitajika. Maembe ya kisasa soko lake liko juu sana, but kama ni maembe ya kienyeji then soko tegemea sehemu moja tu.Hio ndio shida kuu kuliko zote mkuu,haiwezekani nchi nzima tunalima tukiwaza kumuuzia Azam ni ajabu sana kwa kweli.
Soko lake liko wapi mkuu,utakua umesaidia wengi humu jamvini mkuu.Soko la maembe ni pana, tatizo ni kufikia kiwango kinachohitajika. Maembe ya kisasa soko lake liko juu sana, but kama ni maembe ya kienyeji then soko tegemea sehemu moja tu.
Nimefatilia aina ya maembe, wananunua za aina zote,nimefatilia wananunuaje? WANANUNUA KWA TANI!wewe umesema umefatilia, but sio kweli, hujafatilia chochote, majibu yako kwa kila unachoulizwa unajibu, sijui, sina uhakika. Nakuomba hujafanye tafiti, then uje uchangie mada
Maembe yanahitajika sana nchi za kiarabu, Ingia ktk soko lao kupitia hii link Business To Business (b2b) Marketplace - Manufacturers Directory For International Trade LeadsSoko lake liko wapi mkuu,utakua umesaidia wengi humu jamvini mkuu.
Aisee mkuu asante kwa info lkn hapa kumbuka unaongea na Wabongo wenye kumiliki heka 1 au nusu heka ya shamba lenye maembe.Export sio Jambo linalowezejana kwao.Maembe yanahitajika sana nchi za kiarabu, Ingia ktk soko lao kupitia hii link Business To Business (b2b) Marketplace - Manufacturers Directory For International Trade Leads
kuna msemo unasema "if you want to walk faster, you walk alone, but if you want to walk far, walk with others" kimsingi nakushauri hata wewe sio vizuri uwe peke yako, hao wenye heka moja moja na nusu heka heka, wachukue, ungana nao wewe mwenye heka 1000 ili muweze ku export. Mimi ndiyo naandaa shamba, ndiyo maana nafanya utafiti wa soko kwanza kabla sijaingia kwenye biashara yenyewe. Mkuu mng'ato naweza pata mawasiliano yako mkuu?Aisee mkuu asante kwa info lkn hapa kumbuka unaongea na Wabongo wenye kumiliki heka 1 au nusu heka ya shamba lenye maembe.Export sio Jambo linalowezejana kwao.
Ila kwangu mimi asante sana hizi info zitanifaa sana mkuu.