CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Dragon fruits ni moja ya matunda ghari sana Duniani, na yanalimwa sana Asia panoja na nchi kama USA,
Ni matunda ambayo ulimaji wake ni rahisi sana ila sijajua no kwa ni yanauzwa ghari sana.
Kwa Tanzania haya matunda huwa yanaingia kutoka nje, na yanauzwa bei nzuri sana.
Watu watasema Soko liko wapi.
Tanzania kwa sasa ina muingiliano wa watu wengi sana, Nchi isha kuwa Kijiji, Kuna Foreigner wengi sana na wote hao ni kutoka mbele huko.
Hawa ni soko tosha kabisa huhitaji kwenda kuuzia washwahili kama mimi.
Na Upandaji wake ni rahisi kwa sababu unakata shina unaotesha.
Ukiwa na Shamba Idle otesha matunda kama haya.
Sent using Jamii Forums mobile app