Kilimo cha Dragon fruits

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Dragon fruits ni moja ya matunda ghari sana Duniani, na yanalimwa sana Asia panoja na nchi kama USA,

Ni matunda ambayo ulimaji wake ni rahisi sana ila sijajua no kwa ni yanauzwa ghari sana.

Kwa Tanzania haya matunda huwa yanaingia kutoka nje, na yanauzwa bei nzuri sana.

Watu watasema Soko liko wapi.

Tanzania kwa sasa ina muingiliano wa watu wengi sana, Nchi isha kuwa Kijiji, Kuna Foreigner wengi sana na wote hao ni kutoka mbele huko.

Hawa ni soko tosha kabisa huhitaji kwenda kuuzia washwahili kama mimi.

Na Upandaji wake ni rahisi kwa sababu unakata shina unaotesha.

Ukiwa na Shamba Idle otesha matunda kama haya.
20200427_140540.jpeg
FB_IMG_1589515293809.jpeg
images%20-%202020-05-14T182340.969.jpeg
FB_IMG_1589082881194.jpeg
FB_IMG_1588920273063.jpeg
FB_IMG_1587989240738.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu. Hii kitu nimekula china. Wanalima kwenye green house. Ni wazo zuri sana mkuu
 
Furahisha mkun..

Ndio jinale

Hapana mkuu ni tofauti kabisa
Furahisha ni madogo ila Haya ni makubwa ndani ukilipasua ni jeupe sana na mbegu ndogondogo sana
Nimekula siku moja tu na sikupenda kabisa
Ila wachina wanakula sana maana nilinunua kwenye duka Lao



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Haya matunda ndo Yale yale yanapatikana kwenye miiba ya seng'enge , sema hii ni seng'enge ya kisasa au ya kizungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom