Kilimanjaro Vs Morogoro Wapi penye mzunguko wa pesa zaidi?

Shida ya kilimanjaro inahitajika nguvu ya ziada sana kutoboa, kiakili,kifedha na mengineo, ni mkoa wenye fursa nyingi lkn waliokutangulia kwenye seckta husika ndo wanaletaga ugumu, morogoro mji wa kawaida unaweza fanya shuhuli zaid ya moja bila tabu kilimo na biashra na ukatoboa vyote viwli kwa pamoja
 
Mw

Mwakani kwenye miezi ya mwanzo nitakuja moro kwa biashara na kilimo MUNGU akipenda
 
Acha upimbi labda mbeya ya madibira au ushirika tukuyu ila sio mbaya city au Tunduma
unabishana na mm wakati nimekaa miaka 8 huko? tena nilikuwa mbeya mjin kwanzia a level had chuo
jero bajeti ya cku 2 ukienda tukuyu ndio kabisaaa mkungu wa ndiz 2000 sasa kuna mzungko gan?
 
Hiyo miaka uliyokaa sio Leo wala kesho,sibishani ila nakushangaa.
Ndo maana ntakwambia hizo bei hazipo hata huko Tukuyu mashambani,tangu lini jiji likakosa mzunguko wa pesa?
Afu how comes sehemu isiyo na pesa kuwepo olmost financial instituitions? Acha porojo zungumza facts,mbona tuko MBEYA na tunafanya biashara na zinaenda,ww unadhani biashara gani itakwama ukianzisha?
 
mwaka Jana nilokuwa hko MBNA
mbeya hata ilikuaje jiji maana mipango mji n hovyo nyumba hazjaoangiliwa
vijumba vya tope at vpo mjini nenda uyole ya kati au iduda,
stand kuu ile ya zaman at ilikuwa stand ya jiji s aibu? mbeya hakuna hela
 
Shida yako ni pesa au ni stend na nyumba kutokuwa organized? Do tthey have to do with yr income interests?
 
Back
Top Bottom