luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
kawaida tuu mtani,kila jambo linawezekana chini ya juaHadi nimekutamania. Natamani na mie siku moja nitoke japo nifike hata Migori Kenya
urewedi
kawaida tuu mtani,kila jambo linawezekana chini ya juaHadi nimekutamania. Natamani na mie siku moja nitoke japo nifike hata Migori Kenya
unaongea pumba Mkuu,? ulisikiA lini Kilimanjaro kuna uchafu? Kilimanjaro ndio ngome ya usafi miaka nenda rudi,ndio ulaya ya tzMkuu wa mkoa ndio kawatuma ndugu zako wawe wachafu?
Hamasisha ndugu zako waache uchafu.
Kipindupindu ni ishara kwamba watu wamekula kinyesi.
Poleni sana wajomba zangu, Mungu awape afya waathirika afya zao ziimarike.
soma post vizuri,wagonjwa n wa simanjiro ilA wamekuja kutibiwa Kilimanjaro, ulisikia lini Kilimanjaro kuna uchafu?Wachaga bwana! Tehe Tehe teheeeee!
unaifahamu rombo vizuri? lami kila kona,huduma zote za jamii ,99% migorofa tele migombnDuh. Nilidhani ni Rombo
Uncle labda kama hujui kusoma.unaongea pumba Mkuu,? ulisikiA lini Kilimanjaro kuna uchafu? Kilimanjaro ndio ngome ya usafi miaka nenda rudi,ndio ulaya ya tz
rudia kusoma post usikurupuke,hao wagonjwa ni kutoka simanjiro wamekujA kutibiwa Kilimanjaro na sii wana Kilimanjaro
siku nyingine usirudie kuandika upuuz nimekusitiri tu
Wagonjwa wengi wametokea Simanjiro,hakuna Moshi hapo.Wachafu luambo makiadi hahah
mjomba,rudia kusoma post "wagonjwa ni kutokA simanjiro"Uncle labda kama hujui kusoma.
Soma post mpaka mwisho.
Acheni kuwasingiza Manyara mjomba. Kipindupindu kipo kwenu mmekipata kwenye mbege.
Kwani huko manyara hakuna hospitali?
Zakuambiwa nawe changanya na zako.
nimeshamjibu MkuuWagonjwa wengi wametokea Simanjiro,hakuna Moshi hapo.
Simanjiro ipo Mkoa gani?Uncle labda kama hujui kusoma.
Soma post mpaka mwisho.
Acheni kuwasingiza Manyara mjomba. Kipindupindu kipo kwenu mmekipata kwenye mbege.
Kwani huko manyara hakuna hospitali?
Zakuambiwa nawe changanya na zako.
Wakati kilimanjaro ilikuwa chini ya CCM kulikuwa hamna kipindupindu toka chadema washike watu wanaharisha kila kona.Chadema ndio wameleta kipindupindu.Mbowe ajiuzuluMkuu wa mkoa must step down! Alikuwa wapi Hadi kipindupindu kinatokea?
hahaha, Nirewedi.kawaida tuu mtani,kila jambo linawezekana chini ya jua
urewedi
kilAzA wewe ccm ilikuwa liniWakati kilimanjaro ilikuwa chini ya CCM kulikuwa hamna kipindupindu toka chadema washike watu wanaharisha kila kona.Chadema ndio wameleta kipindupindu.Mbowe ajiuzulu
Na dadii,TPC,NEW LAND,KAHE na hapo no kumi hali ya usafi si nzuri hasa mnakopikia dadiiFungia mbege kwa muda
Hapa kuna kitu hapa...
Kipindupindu Moshi..!??
Kuna namna..
Kabisakuna watu watasema upinzani ndo chanzo
😄😄😄Na dadii,TPC,NEW LAND,KAHE na hapo no kumi hali ya usafi si nzuri hasa mnakopikia dadii