Kilimanjaro stars

Kilimanjaro stars

Vidar

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
43
Reaction score
5
Mpaka saiv ni mapumziko kil stars imesha wapodoza gol 1 wanyarwanda amir kiemba.
 
kila la kheri watzee sote (kili stars & znz stars)
 
Mpaka saiv ni mapumziko kil stars imesha wapodoza gol 1 wanyarwanda amir kiemba.



Wasibweteke tu na hako kagoli kamoja wakadhani ndo wameshashinda manake ndo zetu hizo bongo. Otherwise Mungu ibariki Tanganyika!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani pia goal.com pitia pale umpigie kura Mrisho Ngasa kwenye goal of the week kwani anapambanishwa na kina Cr7,Michu
 
Jamani pia goal.com pitia pale umpigie kura Mrisho Ngasa kwenye goal of the week kwani anapambanishwa na kina Cr7,Michu

Asante mkuu. ungeweka ka-website ungerahisisha kazi hii
 
Dak.90 bado ni 0-2 -> Rwanda vs. Tanzania(Kilimanjaro Stars). Umebaki muda wa nyongeza.
 
Waridi nimeshindwa weka link ila nenda goal.com naona jamaa zimeongezeka within minutes imefika 9.3%
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimetambua kwamba tunaweza kufika mbali,Hasa nikikumbuka Sudani 2-0,Somalia 7-0 na sasa Wanyarwanda.Ukizingatia kwamba timu zote hizi ziko juu kiviwango vya soka vya FIFA ukiondoa Somalia.Ahsante mkuu endelea kutujuza wengine tuko mahali ambako hatuna access ya Runinga wala redio.
 
Safi sana vijana...

Viva Kili Stars Vivaaaaa:becky:
 
Mimi huwa naamini kili Stars ni bora zaidi ya Taifa Stars yaani kama vile wazenji wanatuwekeaga gundu.
 
Back
Top Bottom