Kilimanjaro stars aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro stars aibu

Discussion in 'Sports' started by Mr Mayunga, Dec 3, 2011.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mpaka sasa kili stars 0,na zimbabwe 2!TZ tunasogea kweli kisoka?
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Tokoliao
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  M nasema hawa ni kuwapelka lugalo wanachapwa bakora huyo julio unamvua nguo chupi unamchapa waya kama mwendawazimu alafu unawaweka kambi jeshini nakwambia wakikaa awaoni uchi ovyo wanashinda we wakifika hotelini usiku wanashinda na mabibi wamechoka wengine wanakaribia kufa unahisi na jua hili kiuno kitageuka loh
   
 4. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hawa kili stars wapelekwe jeshini walambe fimbo wiki moja.
   
 5. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani hivi kweli tunalalamika? uteuzi na maandalizi yalikuwa duni. Kingine TFC walionyesha udhaifu mkubwa kukubali eti Kili isimtumie kocha wa Taifa stars, kwa nini wasiwaulize wa zanzibar serikali ya Tanzania Bara iko wapi? Bara ndo serikali ya Muungano, hivyo ina haki kutumia raslimali zote za muungano, kwanza ndo wachangiaji kwa asilimia 100.
   
 6. i411

  i411 JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wameniaribia wikiend.....,,
   
 7. l

  leloson Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chakushangaza zaid, zimbabwe wanashangiliwa zaid licha ya kuwa ugenini, hii inaonyesha ni jinsi gani watanzania wamekua na hasira na uwozo wa nchi hii. hali inatisha.
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  unafikiri chadema wanapenda kuingia mtaani ??
  ni takataka na uozo kam huu mpwa so twaitaji mabadiliko
   
 9. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #9
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Poa sana...tupigwe 5 ntafurahi sana...Giza linapozidi tutambue alfajiri imekaribia!
   
 10. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #10
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mazoea ya soka la mdomoni
   
 11. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #11
  Dec 3, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  SIMBA leo wametuaibisha sana..wakubali kufungwa kirahisi ivyo nyumbani.
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Si wanajiandaa na kotokoto sijuui ya ghana so wanafanya mazoezi mkuu
   
 13. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #13
  Dec 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Tumeweza, tumethubutu na tunasonga mbele!
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Mnapoteza muda kushabikia soka liliokufa. Poleni sana.
   
 15. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nafurahi wanaposema tunasonga mbele.mpira wa bongo ni shida tupu!
   
 16. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hii timu ni bomu kabisa
   
 17. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani! Msingi wa timu ya taifa ni vilabu! Je vilabu vyetu vina mafanikio gani kwenye mashindano ya kimataifa?
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  Itakuwa Asante Kotoko ya Ghana.
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hehe jana nimesikia beki wa kulia Geofray Taita kakutwa na Malaya akijisevia chumbani mwake.....nasikia kafukuzwa kambini.....duh hawa ndio wachezaji wa tanzania bara bana...
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yoyo naona umerudisha ka-mdudu kwenye avatar
   
Loading...