Kilimanjaro: RCO wa Ilala Dar SSP Mbise, afariki kwenye ajali Wilayani Mwanga

Ila hawa makamanda wanavyojichukulia sheria mkononi na kuwanyanyasa raia wasio na hatia.
Vitisho vya kutuweka lock up, kuchukua vijipesa vyetu, kutubambikia kesi hasa hawa matrafiki.
Anyway kwaheri Mrakimu wa ngazi ya juu SSP
 
Pamoja na kazi nzuri wanayofanya polisi, dhuluma na unyanyasaji kwa wananchi vimejaa sana kiasi kupelekea wananchi kulichukia sasa jeshi la polisi, imefika mahali polisi anaonekana adui, kuthibitisha hilo fuatilia post za humu ndani
 
Back
Top Bottom