Ina maana serikali inawaonea wawekezajiWanamuonea. Bange ni awa.
Labda ndio maana inapigiwa chapuo na wabunge Fulani,huenda jamaa anawapiga mlungula ihalalishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihalalishwe kwani ni haramu? Tuaceni na mboga yetu...karibuni NjombeLabda ndio maana inapigiwa chapuo na wabunge Fulani,huenda jamaa anawapiga mlungula ihalalishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hongereniIhalalishwe kwani ni haramu? Tuaceni na mboga yetu...karibuni Njombe
Juz kati waziri kasema, kuna kiwanda cha uvunaji wa mafuta ya bangi, so soon itakuwa halali.Labda ndio maana inapigiwa chapuo na wabunge Fulani,huenda jamaa anawapiga mlungula ihalalishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya bangi inayostawi ukanda wa Tanzania ina THC nzuri sana na kwa wingi siku wakiruhusu hii kitu ilimwe mashamba ya mahindi yatakuwa ya kuhesabu.