Kilimanjaro: Mwekezaji alima bangi na kuichakata na kupeleka nje ya nchi

Kule Tarime mahindi na migomba na Meru hutaona nyanya tena.

Maeneo ya Songea Ilonga Mahenge huko ndio itakuwa balaa.
Sisi wengine tulibahatika kuisoma Bhangi vizuri darasani hivyo basi siku tu wakiruhusu uwekezaji katika ili eneo hili shamba la huyu mzungu mbona la si kitu ametuaibisha kweli wajuvi wa haya mambo.
Adjustments.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si tuko kwenye mchakato wa kuiruhusu?
Mwekezaji wa kigeni raia wa Poland Bw. Damian Sankowisik amekamatwa na mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini eneo la Njiapanda mashariki wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa akizalisha mazao ya bangi na kuchakata kupeleka nje ya nchi.

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni. View attachment 1352187

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Nchi yetu kamae hatuwezi kuendelea mpaka hapo tutakapobadilisha mitazamo yetu
 
Back
Top Bottom