Kilimanjaro music award

zinatolewa zawadi leo tunaiga ya oscars etc... kila nyanja leo
 
Nimefurahi kwa Marehemu Salum Abdallah kupata tuzo. For us, old timers, ni faraja kubwa. The man did a great job, those good old days. Ama kweli 'old is gold'.
 
Nimesikitika sana kumuona TID badala ya kuimba na kuwaburudisha mashabiki jamaa anaomba hela kwa kulazimisha
 
Nimesikitika sana kumuona TID badala ya kuimba na kuwaburudisha mashabiki jamaa anaomba hela kwa kulazimisha

Generally the award ceremony was very good ila nimekwazwa na political decisions za baadhi ya washindi... specifically Keysha; I am tempted kuamini kwamba ndugu zetu wanatumika kama tools for some organizers to gain political or social platforms. Sikumbuki lini Keysha alitoma mwimbo wa mwisho na nakumbuka for the whole of 2008 and first quarter of 2009 baadhi ya akina dada walikuwa wazuri sana na si Keysha

DON'T GET ME WRONG [I KNOW THE SENSITIVITY BEHIND] BUT ITS TIME WE CHANGE OUR ATTITUDE... lets not use other people to gain cheap sentiments and popularity

Pia kuna baadhi ya vijana hawakujiandaa kuongea kwenye stage

THT = funika bovu!!!!!!!!!!!!
 
Binafsi nilifurahishwa na perfomance ya BANANA,AY,NAMELESS,BLU3 na THT
Kuhusu matokeo kila mwaka wanachemka Dogo Mfaume alitakiwa ashinde tuzo zaidi ya moja
 
Binafsi nilifurahishwa na perfomance ya BANANA,AY,NAMELESS,BLU3 na THT
Kuhusu matokeo kila mwaka wanachemka Dogo Mfaume alitakiwa ashinde tuzo zaidi ya moja

True that Mkuu.... dont forget Chiddy Benz antics.. he has that mouth to play maa'an!!

Overall performance was better than last year, but several artistes were absent which is a sign of something burning

KAZI ZA DUKANI ZINALIPA... ILA UNAAMBIWA CHUNGA MKEO ASIJE AKALALA KWENYE MAJANI!!!
 
kaam ilivyotgemewa iliboa wengine na sie aaah mambo mswano.......
attachment.php

napendekeza coca cola,pepsi,banana wine nao wawe na awards zao....mambo haya yawe kila weekend

attachment.php

Masha'allah
 
Attachments

  • kill.JPG
    kill.JPG
    29.1 KB · Views: 153
  • mhh.JPG
    mhh.JPG
    30 KB · Views: 261
Nimeona pics kwa Michu, nimefurahi Mwasiti kapata tuzo wimbo wake nalivua pendo mzuri sana halafu THT anawakilisha vizuri binti huyo pia Ngwear kwa wimbo wake Masela maana alipoa sana.

Yo Yo, Angeris hakupata tuzo ya klm?
 
Mimi nilimpa tuzo zooote.....aisee kutoa kiwanja na nyumba ya kinyerezi sioni taabu kwa haka ka angeris.....

Ingependeza uwe meneja wake na kumuinua zaidi kimuziki,mara ya kwanza nilimwona BSS anatokea A-town!..

Big up to Chidi Benz,kaka ana sauti nzito na nzuri. Collabo yake na Mwasiti kwenye 'Hao' ni safi halafu na kwenye 'Bado umenuna' kashirikishwa na Marlaw.
 
ni kweli chidi yupo poa,lakini hakustahili kupata tuzo aliyoipata kwenye kili mara hii,amebebwa waziwazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom