Tatizo la hizi tuzo lilianzia kwenye maslahi ya media kubwa ya Clouds kufanya monopoly ya kila kitu. Ikawa ukigombana na Clouds na tuzo haupati. Sasa imagine top ten zetu za media karibu zote wimbo wa Sukari wa Zuchu haujawai kushika hata namba 10 unategemea hao watu wakikaa kuchagua nominees na washindi si itakuwa uongo uongo tu. Sasa hivi media zina wao wadau wa entertainment wana wasanii wao dhambi ya ubaguzi iliyoanzia Clouds na East Africa radio imezaa wajukuu na imeua muziki.
Nakumbuka mwaka flani Diamond alipata tuzo ya MTV na Chanel O lakini hakupata hata tuzo moja ya tuzo za Eastafrica radio.