Kilimanjaro: Hatimae Baraka Malisa amekamatwa

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
Baraka Malisa ni mtu aliekua anatesa sana wananchi wa Kilimanjaro kama Scorpion, Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwamba amekamatwa na watu wote waliojeruhiwa na Baraka Malisa waende Kituo cha Polisi Majengo, kama anavyosikika hapo chini.

 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…