Salaaam wanajamvi
Kwa machungu makubwa nnaomba niwataaadharishe wale wote wapenz wa bus za luxury kwamba znaulinz wa kutosha kwa KLM sio hvo,leo nmesafir toka Dar kuja mosh lakn cha kushangaza wajanja wa nchi niwaite hvo wameiba laptop yangu na pesa, wahudum hawakutaka kunpa ushirikiano na wiz umetokea wakat wa kwenda kupata lunch pale highway korogwe...Kinacho nisikitisha zaidi n maelezo yaliyopo kwenye ticket yao yakiwa yanasomeka hv "your safety is out concern" wataalam wa sheria na lugha mtanisaidia kulidadavua
Angalizo taften mabus mengne yenye usalama na kuweni makini na assets zenu za gharama ndugu zetu wanaohudum njaaa kali inawaponza..........
"Your safety is out concern" Sijaelewa ina maana gani?