BASI SAWADiwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.
Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.
Binafsi Nalaani vikali tabia hii.
View attachment 1601391View attachment 1601392
SAWADiwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.
Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.
Binafsi Nalaani vikali tabia hii.
View attachment 1601391View attachment 1601392
Huyu diwani ni mhuni.kapasua kioo mwenyewe tena kwa jiwe.Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.
Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.
Binafsi Nalaani vikali tabia hii.
View attachment 1601391View attachment 1601392
Ukisikia sinema ya kutengeneza ndio hii sasa. Yaani wavamizi wanavaa sare za chama kabisa halafu wanafanya tukio la ivamizi.SAWA
CCM NI WATU HATARI SANAUkisikia sinema ya kutengeneza ndio hii sasa. Yaani wavamizi wanavaa sare za chama kabisa halafu wanafanya tukio la ivamizi.
Je ilikuwa ni kwenye viwanja vya kampeni?
Tuache siasa za maji taka jamani.
Ndiyo ukweli,Huyu diwani ni mhuni.kapasua kioo mwenyewe tena kwa jiwe.
Kama walivyomvunjia Lissu huko Chato, fanyeni subiraDiwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.
Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.
Binafsi Nalaani vikali tabia hii.
View attachment 1601391View attachment 1601392
Kama vilivyoingilia waliposhambuliwa wengine akina Lissu.Chadema Ni chama Cha hovyo Sana ,wanamwogopa Sana Juma Raibu pale Moshi,Naamini vyombo vya dola Vita ingilia kati
Wamenikumbusha huko Kigoma RPC alitangaza kukamata bunduki iliyofichwa ardhini lkn ikiwa imefunikwa bendera ya Chadema.Ukisikia sinema ya kutengeneza ndio hii sasa. Yaani wavamizi wanavaa sare za chama kabisa halafu wanafanya tukio la ivamizi.
Je ilikuwa ni kwenye viwanja vya kampeni?
Tuache siasa za maji taka jamani.
Chadema ni watu hatari sana.CCM NI WATU HATARI SANA