Kilimanjaro: Diwani wa CCM Juma Raibu avamiwa na Kuvunjiwa vioo vya magari

Tutanota

Member
Aug 5, 2020
18
77
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391
IMG_9qqqs5.jpg
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

BASI SAWA
 
Huyu diwani ni mhuni.kapasua kioo mwenyewe tena kwa jiwe.
 
Kumbe kuna madiwani bado nilidhan wote walisha vua udiwani kusubiri uchaguzi.
 
CHADEMA Ni chama Cha hovyo Sana ,wanamwogopa Sana Juma Raibu pale Moshi,Naamini vyombo vya dola Vita ingilia kati
 
Diwani wa BomaMbuzi Moshi Kilimanjaro Juma Raibu amevamiwa nyumbani kwake na wanaliovalia sare za chadema na Kuvunjiwa vioo vya magari yake binafsi.

Hili linatokea ikiwa ni siku kadhaa tangu Mgombea ubunge wa chadema Raymond Mbowe kumtishia Diwani Juma Raibu katika kikao Cha Amani Cha Mkoa.

Binafsi Nalaani vikali tabia hii.

View attachment 1601391View attachment 1601392

Kama walivyomvunjia Lissu huko Chato, fanyeni subira
 
Juma Raibu Ni kiboko ya chadema pale Moshi najua huu Ni mkakati wa Mbowe na lissu kumnyamazisha kiaina ila wamekwama, CCM Moshi msikubali huu uhuni
 
Mimi mwanachadema ila sijapenda hii tabia ya chadema Moshi kufanya unyama kwa Diwani kijana makini kama Raibu ,Huyu huwa anajali makundi yote ya vijana bila kujali itikadi yoyote.Chadema Moshi nimewashusha vyeo
 
Ukisikia sinema ya kutengeneza ndio hii sasa. Yaani wavamizi wanavaa sare za chama kabisa halafu wanafanya tukio la ivamizi.

Je ilikuwa ni kwenye viwanja vya kampeni?

Tuache siasa za maji taka jamani.
Wamenikumbusha huko Kigoma RPC alitangaza kukamata bunduki iliyofichwa ardhini lkn ikiwa imefunikwa bendera ya Chadema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom