Kilichotokea jana kimerudisha hadhi ya mwanaume wa dar.

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
2,162
3,086
IMG_3258.jpg

Unampa marks ngapi alivyomfanyia mwanaume wa mkoani na pisto yake?
 
Kwakweli Maulid alionyesha ujasiri mkubwa sana,kama ni rafiki wa Nape,yeye ni rafiki wakweli tena ambaye yuko radhi kumwaga damu kwaajili ya rafikiye.Wanaosema hakuona bastola hawajui kua watu waliokuwepo pale walikua wanasema "wametoa bastola" hivyo kumfanya Maulid ajue kua wale majamaa walikua na bastola ambayo ingetumika hata kumuua.
 
Na Kama ulitizama, Baada ya Bastola kutolewa ndo Maulid akamfata yule Askari, kwanza alianza kumvuta then akaingia Kati nakuanza kumsukuma, Ni mtu Jasiri Tu anayeweza fanya vile.

By the way Kitenge Ana sifa ya Ubabe Na ukorofi toka Yuko primary, Jana ilikua Happy birthday yake nilikua namsikiliza Mama yake akisema mwanaye alikua mkorofi utotoni, piga Sana watoto wenzie, Mama anakumbuka moja ya kesi aloletewa Ni Kitenge kumpiga Makwenzi JJ Mnyika! Enzi hizo.
 
Back
Top Bottom