Ile technology ya babu zetu ya ungo ingekuwa inafunction sasa hivi ningeungana na wana Arusha kwani ninatamani sana ningekuwepo kuweka historia. Utasimulia nini vizazi vijavyo kama umekosa kumuona Steve Biko akitoka gerezani, utasimulia nini kama hujaimba ''hakunaga mbunge kama Lema''
ishara ya ukombozi
mkuu bora ipiga maana haka kajoto kalikuwa kanatukoseha amani kabisa sasa hali ya hewa imetulia tuwasikiliza vizuri wapiganaji
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
sasa ya ukombozi ni sasa unasubiri nini wewe ... amina
mvuua tena, na Mh Lema katoka? basi hiyo ni neema maana hata tulikuwepo miaka ile ya 1990 wakati tunampokea mandele tulilowana sana popote alipotembelea, kuanzania dar,Moro na Iringa