Kilichotokea Arusha katika picha

Mapinduzi halisi yanakuja. We ngoja waTZ wajaribiwe kwa kutopewa Katiba Mpya tena ya kwao wenyewe halafu uone kivumbi.
Watanzania wote ni mafisadi kama serikali yao hivyo hawawezi kufanya mapinduzi yeyote hata ya kumuondoa mwenyekiti wa Mtaa. Kwa hili la Arusha CDM wamefeli ama wamekufa kifo cha mende kwa kusalitiwa na Nguvu ya umma ambayo ni tegemeo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…