Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Mchoro sio halisi. Lakini unaakisi eneo la mbezi mwisho.
Mchoro wa sasa unaonyesha mbezi mwisho kunawekwa mataa kati ya njia ya goba-kinyerezi vs morogoro - dar city.
Wadau mbalimbali wanaona kama ni kuihamisha foleni ya ubungo na kuiweka mbezi mwisho.
Wadau wanaomba Tanroad ambaye ndio washauri wa mkandarasi wafanye upya mawazo yao ili kunusuru matumizi mabaya ya kodi za wananchi
Kama kuna mtu wa Tanroad hapa anaweza eleza kwa umakini sababu za kuweka mataa mbezi mwisho.