kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
Chai bila vitafunwa!Birika maliza!
😁Chai bila vitafunwa!Birika maliza!
Dah! Humu ndani pagumu sana
Hadi wewe?Chai bila vitafunwa!Birika maliza!
Umesahau kuwa mleta mada alikuwa anaota ndoto
Uzuri wa ndoto hizi ukiondoa hofu unaweza kufanya Chochote au hata kuwa JetLi, donnie yen, au hata jackieChanHabari za asubuhi wana jukwaa.
Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza kusoma comments za wadau😄
Sasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi njiani wana mapanga na siraha nyingine, kuna huyo jirani yangu ni mdada akawa anaambiwa awape hela na simu si awaka anagoma wakamkata kidole, sasa wakahamia kwangu nilikuwa nimevaa saa mkononi, si huyo mwizi mmoja akaanza kunipiga na fyekeo nikawa nalidaka huku navua hiyo saa nimpe, wakanichukue saa na simu zangu na pesa na bado wakawa hawajashuka kwenye gari abiria utakayepanda unakutana nacho😁😁
Kabisa mkuu, ila yale mapanga yao mimi yalinitisha sanaUzuri wa ndoto hizi ukiondoa hofu unaweza kufanya Chochote au hata kuwa JetLi, donnie yen, au hata jackieChan
Unajikuta majambazi wote unawadhibiti usiweke uwoga au wenge😃
Kidogo niseme chai, ila nikakumbuka neno nikaotaSasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi
Nashangaa wanaosema chai hadi ndotoKidogo niseme chai, ila nikakumbuka neno nikaota
We jamaa fala sana nimecheka namna kikombe kilivyoshikwa
Wazoee tu sema na wewe thread yako ina hang haina ujazo tosheleziDah! Humu ndani pagumu sana
Habari za asubuhi wana jukwaa.
Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza kusoma comments za wadau😄
Sasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi njiani wana mapanga na siraha nyingine, kuna huyo jirani yangu ni mdada akawa anaambiwa awape hela na simu si awaka anagoma wakamkata kidole, sasa wakahamia kwangu nilikuwa nimevaa saa mkononi, si huyo mwizi mmoja akaanza kunipiga na fyekeo nikawa nalidaka huku navua hiyo saa nimpe, wakanichukue saa na simu zangu na pesa na bado wakawa hawajashuka kwenye gari abiria utakayepanda unakutana nacho😁😁
Nilishawahi kuota napambana na adui, mzee ile ndoto ilikuwa ni balaa yaani upo kwenye ndoto lakini unatamani uamke usiendelee kuota hii hali haielezeki.Uzuri wa ndoto hizi ukiondoa hofu unaweza kufanya Chochote au hata kuwa JetLi, donnie yen, au hata jackieChan
Unajikuta majambazi wote unawadhibiti usiweke uwoga au wenge😃
Tuko pamoja ni maneno tuu!Hadi wewe?
hahahaWe jamaa fala sana nimecheka namna kikombe kilivyoshikwa
chai ni chai tuUmesahau kuwa mleta mada alikuwa anaota ndoto
Umekariri😁
😁😁wewe siyo mwanaTuko pamoja ni maneno tuu!