Kilichonitokea baada ya kusoma thread hii.

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
Habari za asubuhi wana jukwaa.

Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza kusoma comments za wadau😄

Sasa jana usiku nimelala nikaota tumepanda gari, tukavamiwa na wezi njiani wana mapanga na siraha nyingine, kuna huyo jirani yangu ni mdada akawa anaambiwa awape hela na simu si awaka anagoma wakamkata kidole, sasa wakahamia kwangu nilikuwa nimevaa saa mkononi, si huyo mwizi mmoja akaanza kunipiga na fyekeo nikawa nalidaka huku navua hiyo saa nimpe, wakanichukue saa na simu zangu na pesa na bado wakawa hawajashuka kwenye gari abiria utakayepanda unakutana nacho😁😁
 
Screenshot_20250323-102603~2.jpg
 
Uzuri wa ndoto hizi ukiondoa hofu unaweza kufanya Chochote au hata kuwa JetLi, donnie yen, au hata jackieChan

Unajikuta majambazi wote unawadhibiti usiweke uwoga au wenge😃
 
Uliitafakari sana lile tukio mpaka ukaota
 
Uzuri wa ndoto hizi ukiondoa hofu unaweza kufanya Chochote au hata kuwa JetLi, donnie yen, au hata jackieChan

Unajikuta majambazi wote unawadhibiti usiweke uwoga au wenge😃
Nilishawahi kuota napambana na adui, mzee ile ndoto ilikuwa ni balaa yaani upo kwenye ndoto lakini unatamani uamke usiendelee kuota hii hali haielezeki.
 
Back
Top Bottom