Kilichonishangaza Rombo

Hata mimi nilivyokuwa Rombo nilipata msg hiyo,nilipokuwa Longido nikasema nikatembee Namanga nilikaribishwa na msg hiyo.Nilipokuwa Tunduma nikatumiwa msg ya kukaribishwa Zambia.Nadhani ni kutokana na ukaribu wa hizi nchi so hata mawimbi ya mitandao hii ya simu unapokuwa sehemu fulani huingiliana.
 
ni kawaida ukiwa sirari tarime unaweza tumia minara ya kenya fresh sana na sio simu tu hata pesa ya kenya wanaikubali unawwza fanyia manunuzi bila shida hali kadharika ukiingia insbania country ya migori kenya unaweza tumia minara ya Tz au kenya na pesa ya Tz wanaikubali poa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…