Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 633
- 340
Kutoka arusha nimetumia tsh 7000 mkuu.Sorry kaka hivi Rombo nauli bei gani kwa basi?
Kwani kila anayetumia jf anamiliki smatphone?Weka Screenshot isije ikiwa ni ubuyu mpya wa Umbea!
ww ni mke au mume maana kama ni mume ni disgrace kutaja hilo neno ubuyu limekaa kikikekikeWeka Screenshot isije ikiwa ni ubuyu mpya wa Umbea!
Wa mikoani hao balaaww ni mke au mume maana kama ni mume ni disgrace kutaja hilo neno ubuyu limekaa kikikekike
Wakati mwingine ni swagga tu wala halina maana uliyotafsiri wewe maneno yanavyoandikwa naamini yanaweza yakawa na maana mbili tofauti inategemea na mzungumzaji kalitamkaje!ww ni mke au mume maana kama ni mume ni disgrace kutaja hilo neno ubuyu limekaa kikikekike
Teh!.Haloo!.Hekaheka,misukosuko,taharuki,tafarani😳😛!Wa mikoani hao balaa
Sio uongo nikweli kbsa na nikitu chakawaida rombo tena unapoazia mashati kwenda TarekeaWeka Screenshot isije ikiwa ni ubuyu mpya wa Umbea!
Simu yako ilisoma mtandao gani?Nilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
Kumbe madame s ukp karibu na zingibari,utakuwa unapatikana maeneo ya Tanga wewe.My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak