Kilichonikuta leo lodge

Shida ni moja..mimj huwa siamin kabisa kabisa kwenye inshu ya kutunza siri.

Mara nyingi sana Mtunziwaji siri, huwa hamuamin kabisa mtunza sir wake.

Nkm siri yenyewe nikubwaaa, basi roho ya Dhambi huanza kumvaa namatokeo yake ni kutaka kumpoteza huyo mtunza siri wake.


Kwa kesi kama yako, Mtunziwaji sir atakua na uhuru pale tu UTAKAPOMLA MZIGO NAWW.
 

Hakuna cha wamama wala nini, tunawatungua tu tena kilaini.
Hata akiwa na hela akikosa dushe lazima akalitafute tu
 
Fanya yako mkuu, kujiuliza sana yasio kuhusu ndio chanzo cha umbea
 
Nirushie wekundu mmoja naapa hiii siri sitaitoa popote
 
Nirushie wekundu mmoja naapa hiii siri sitaitoa popote
 

Jibu la huyo Mama amekosa nini kwa Mumewe linaweza likawa ni hii hali iliyowahi kunitokea Mimi miaka kama Mitano hivi iliyopita ambapo niliwahi Kumtongoza Dada Mmoja hivi ambaye pia alinizidi Umri kidogo na alikuwa ni Mke wa Mtu Mmoja mzito tu katika Taasisi Muhimu nchini ambapo alikuwa na miaka 13 katika Ndoa yake huku akiwa na Watoto wake 3 lakini Siku ambayo nilifanya nae Mapenzi nakumbuka aliniambia kuwa tokea aolewe na huyo Mumewe hakuwa Kukojoa na alishangaa mno Mimi kulifanikisha hilo na nakumbuka hata Pesa zake nilizila kidogo ila baada ya kuniambia Kazi ya Mumewe nikaona isiwe taabu bado najipenda, naipenda Familia yangu, nawapenda Ndugu Jamaa na Marafiki na naipenda pia Tanzania yangu na nikaachana nae. Mkuu asikudanganye Mtu Wanawake wengi Wanawasaliti ama Waume zao au Wapenzi wao siyo kwasababu ya Pesa kama ambavyo wengi labda tunadhani bali sababu kubwa ni wao Kutokutoshelezwa vizuri Kimapenzi wawapo katika Tendo la Ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…