princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
Na hii hali ilivyongumu ndugu yangu naache kupokeaUkafanyeje sasa baada ya kuona wekundu!!!
vipi huyo mama chombo??
Na hii hali ilivyongumu ndugu yangu naache kupokea
Na nilivokuwa na shida na hela n kama bahati tuHahahaha safi kabisa... Hakuna namna!
omba mtungo, mumpige diwale
Na kwel maana ni aibu kwanza yeye mwenyew hakutegemea nikuta pale alishtuka balaaKama kakupa hela kausha,fanya mambo yako,siri ya mtungi aijuae kata,huenda hata mumewe mchepukaji,wanajuana wenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ulitaka nikataeSasa ndo umemtunzia siri hivo???wakat ukijiuliza kakosa nini kwa mmewe ww mbona umepokea hyo hela,????
Mkuu acha umbea
Si ndyo mwandishi wa habar anaechipukiaMleta uzi utakuwa ni muandishi wa habari
Natunza ndio kwan ww uyo mama unamjua mkuuJitahidi kutunza siri za watu
Hahaha sijui kama atakua yupo jfAkiuona huu uzi lazima akudai hela yake..