moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,888
hahahaa khaa jamanLeo ukiota umenunua KY basi ndo ujue kesho haitakuwa ndoto tena maana utaunganisha matukio iyo KY uifanyie nini? Maana kila kitu kipo na namba unayo.
Unaota ndoto za kidwanzi Sana wewe utakuwa na nyege tu.