Kilichonikuta leo kinaniumiza kichwa changu

Kilichonikuta leo kinaniumiza kichwa changu

None of you seem to understand.

I'm not locked in here with you.

YOU'RE LOCKED IN HERE WITH ME
 
ungeweka na namba za huyo CHAKULAAA hapa......duh...ila kumkaza mwanaume mwenzio....hahahahhaaa....mtihani mgumu kwei kwei.....
ukiota tena ukiamka...piga nyeto baba.....uone kama huyo sheitwani atakusogelea tena....
 
Sidhani kama kuna la ajabu maana binafsi naotaga mambo hata best yangu aliwahi niambie kuwa anaotaga maranying ana-du na dada/ndugu zake
Kwenye ndoto mostly tunawaota watu tunaowafahamu na huwa tunawabadilishia uhalisia wao katika maisha
Kuhusu sodomy ni jambo ambalo huwa tunaliwaza japo hatuplan kufanya so ni kawaida kuota
 
Tafuta ubize...kama kusoma kitabu,kuchek series ,au kutembea kwa mguuu majira ya jion (evening walk)... Ukibadikisha mazingira hayo...akili haitafikiria sana mambo ya kingono...

NB: Nmeelekeza kukuwazia unamawazo sana jinsi gani ambavyo,hupati Uhuru wa kimapenzi na mpenz wako wa sasa.Inabd hii hali ikuondoke akilini kwa kufanya kama nilivyopendekeza hapojuu..maana ikiendelea utajikuta unakuwa na stress ukidhania uko nyuma kimaendeleo au hauna bahati....kumbe maendeleo sio mashindano na kila jambo lina wakati wake...

#Punguza kuangalia NAUGHTY pgs&videos.(sijasema uache,nmesema punguza)

Ila ukipata hela hata kidogo..usiogope kwenda lodge kupata RAHA na mpenziwo....hyo DAHAWA kama c dawa mkuuu (Jokes)
 
Mleta mada ni fala sana. Sikuamini aliponifuata inbox kwangu akitaka aniunganishe na hilo bwabwa, nahisi ndio yeye mwenyewe kabisa maana jinsi alivyokuja nanukuu "Vp mkuu, naweza kukupa namba ya huyo shoga. Anatoa huduma popote pale mnakubaliana tu kuanzia 5000 na mkikubaliana nauli analipa mwenyewe." Nikajiuliza, hv nafanana na basha? Kipi kimemfanya huyu nyang'au alete maelezo yote haya ambayo ni kumvuta mteja?

Mwisho akili ikaniambia naibiwa. Huenda nikaharibu biashara yake, lakini nathubutu kusema aidha mtoa mada ni shoga lenyewe au ananufaika mojakwamoja na huyo shoga. Ni ngumu mtu mwenye heshima kumfuata mwanaume private na kutaka kumtongozea mwanaume mwenzie. Jamaa ulinikera sana sio siri.
 
Unavyoongea uwe na ushahidi, ustake kunufaisha watu kwa upumbavu wako, unaushahidi wowote kama nilikufuata INBOX ?? Acha upumbavu mimi ni mtoto wa kiume na nimekamilika xo kuwa makini na kauli zako.

NAOMBA UTUME SCREENSHOT ZA HICHO UNACHOKISEMA WATU WAAMINI HAPAHAPA

Usitake sifa mbele za watu
 
Siwezi kukaa na upuuzi wako inbox kwangu. Siwezi kukusingizia kwa chochote. Ili nipate nini?
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] unanisikitisha sana. Uniunganishe naye tena?
Unakumbuka hii comment niliiandika baada ya kusema kama nataka unaweza kuniunganisha naye? Hiyo post niliyojibu naona umeifuta. Kataa na hilo
 
Kwanza hata kufuta hizo comment siwezi, hili jukwaa ni la uhuru wa kila mtu, nifute ili nimfichie nan ama nimnufaishe nani??

Kwanza unaonekana ni mpumbavu, Mtu anazungumza kuhusu ndoto then na wewe unasema uunganishwe naye, sasa unaakili kweli wewe... Ama ndo michezo yako kuingilia hao wanaume wenzio unaoishi nao...This is stupid

JITAMBUE
 
Soma uelewe. Nimekuuliza unakumbuka hiyo comment ya kushangaa niliituma kwasababu zipi? Haukunifuata inbox ukaniambia jamaa unaweza kuniunganisha naye na ananifuata nilipo? Tena hiyo ni baada ya kucomment kuwa unaogopa kumkatalia.[emoji35][emoji35]
 
Naona mmekutana...mngemalizana inbox
 
Kuna roho chafu ziko kazini mkuu chukua hatua kabla haijawa too late
 
Naona mmekutana...mngemalizana inbox
Naweza kuwa nimefanya makosa kumtangaza lakini kama moderetor wanaweza kurestore convo ambazo zimefutwa, watusaidie. Naongea nikiwa na uhakika hata baadhi ya chats hapo juu amefuta. Ndio maana nilishangaa mpaka nikamuuliza "uniunganishe tena?"
 
Back
Top Bottom