Kilichonikuta Kinachekesha na Kushangaza!!

Kilichonikuta Kinachekesha na Kushangaza!!

Naona urifika adi burundi vp raisi wao bado yupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]
 
Usisumbuke na mwanamke anayekutongiza jua alikuwa hana pesa na akajua atapiga mpunga kwako akiwa anaendelea na mawasiliano na wewe akapata Mwenye mpunga , sasa ya nini aendelee na wewe wakati alichokua anakitafuta kisha pata


Huyo mwache kwa Wema wala si kwa hasira wala kwa jazba kwa kuwa koni zikibana huko atakutafuta tena

Kwanza asingeweza nipiga mpunga na hajawahi niomba. Pili sina kinyongo nae.
 
Wanaume wa dar asee mnasikitisha. Yaaani mtu hamjawahi hata kuonana, hujui Kuwa ni binadamu halisi au la, ushamtambulisha kwa familia yako??

Brother, Utakuwa una tatizo mahali.
 
Alikua kazini ameshamaliza kazi yake jiandae kwa matokeo yake baadae
 
Unapanga ndoa na mtu usiyemjua? Kama ni mke wa MTU au kahaba tu wa kitaa!! Ndio maana zamani huwezi kuwa na mahusiano hewa kama hayo. Ni hivi alikuzuga tu, hasomi wala nini na alikuwa anatafuta njia ya kukupiga tu, reaction yako imepelekea hayo kutokea

Nilimjasusi hivyo sikuwa na shaka na asingeweza nipiga mpunga.
 
Nilicho elewa ni kwamba una mpango wa kua mmiliki wa radio station. Nakutakia kila la heri.

Hayo mengine nawaachia wengine!
Na mimi ndo nadhani alitaka kutueleza hilo
 
Shigongo, musiba, ruge wote wamiliki wa vyombo vya habari lakini mienendo yenu inafanana na nadhani unatengeneza mazingira ya kuleta kitu au kufanya kitu yani unatengeneza kiki..

Usisahau kunipa kazi za Ufundi mitambo boss.
 
Back
Top Bottom