Kilichomuua AMINA CHIFUPA

Status
Not open for further replies.
Ndugu baomba mnijuze anayefahamu kilichomuua marehemu amina chifuta

Mkuu,

kwa heshima na taadhima naomba uondoe hii hoja kwani si vizuri na haina tija, najua ni siasa zimekuleta hapo lakini kumbuka wote tunapita.... na sidhani kama tunapenda kujadiliwa kihivyo
 
Hayo yashatokea hata kama aliuwawa it doesnt matter but tutamkumbuka kwa yale aliyoyafanya
 
....................jamaa kachefua watu kweli !
 
Kuna mtu anaitwa Manyaunyau alisema siku 14 Kanumba angerudi lakini mpaka kesho.

hujui kwamba waganga wa kienyeji ni misukule wa kuzimu!
Let the deads burry their dead's ones!
 
Hizi ndo threads za JF watu wakishachoka kwa majukumu ya siku!!!!
 
ukiweza pia tutajie kilichomuuwa ndugu yko wa karibu mara ya mwisho...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…