Taraifa hii utaletewa si muda mrefu ,lakini kuwa ufupi tu Peter Msolla aliingilia maslahi ya jasusi wa shirika la Irani Rostam Azizi,Profesa peter msolla alipopeleka mswada wa sheria kwenye baraza la mawaziri ilikupata baraka ya kupitishwa uliokuwa ukiyataka makampuni yote mawasiliano pamoja na simu kuweka bayana mapato yao ikiwemo kampuni inayomilikiwa na Rostam Aziz vodacom ambayo anamiliki hisa asilimia sitini ya hisa zote kwenye kampuni hiyo.
Mswada ule ulipata baraka kwa baraza la mawaziri,Jk Rais asiye jiamini anayemtegemea Rostam Aziz NA Edward Lowassa kutwala nchi kwakuwa anawaogopa na kweli anawaogopa tunajua ,na tunajua lakini akakaitwa na profesa msolla na Jakaya Kikwete kwa wakati mwingine weweze kubadili baadhi ya vipengele ili kuwalinda majambazi wezi wakubwa hao wa makampuni ya simu .ambao wanabadili majina ya kampuni kila baada ya miaka mitano ,msolla kwa uadilifu alipingana na ushuri wa kidhaklimu wa kikwete akakataa kufanya tofauti na vile baraza la mawaziri walivyopitisha .
Nawambia watanzania Rostam Aziz ni jasusi hamtaki kunielewa huyu mtu anaivuruga nchi ,subirini taarifa kamili
Msolla ameharibu sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kaajili ndugu zake hawafanyi kazi yeyote !
RA ana hisa 17% tu...hisa 65 ni za Vodafone Group zamani zilikuwa 65 ni za Vodacom SA...source www.vodacom.co.tz
msolla ameharibu sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kaajili ndugu zake hawafanyi kazi yeyote !
RA ana hisa 17% tu...hisa 65 ni za Vodafone Group zamani zilikuwa 65 ni za Vodacom SA...source www.vodacom.co.tz
RA ana hisa 17% tu...hisa 65 ni za Vodafone Group zamani zilikuwa 65 ni za Vodacom SA...source www.vodacom.co.tz
Msolla ameharibu sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kaajili ndugu zake hawafanyi kazi yeyote !
Nilishasema.
Kikwete siyo Rais.
Ila anataka watu wamuite Rais kama sifa tu.
Nchi inaongozwa na wenyewe.
Nampongeza Prof. Msolla.
Nadhani kuna haja ya wasomi wa nchi hii kuungana na kujitenga na CCM.
Vinginevyo nchi hii itakuwa ya mahala pa mateso kwa kila mtu asiye na pesa.
lwangwa, taarifa yako ni nzuri tuu tena yenye thamani kubwa kwa Watanzania, kuwadhibitishia Prof. Msolla ni bold kihivyo na ametendwa kwea sababu ya kutishia interest za watu.Taraifa hii utaletewa si muda mrefu ,lakini kuwa ufupi tu Peter Msolla aliingilia maslahi ya jasusi wa shirika la Irani Rostam Azizi,Profesa peter msolla alipopeleka mswada wa sheria kwenye baraza la mawaziri ilikupata baraka ya kupitishwa uliokuwa ukiyataka makampuni yote ya mawasiliano pamoja na simu kuweka bayana mapato yao ikiwemo kampuni inayomilikiwa na Rostam Aziz vodacom ambayo anamiliki hisa asilimia sitini ya hisa zote kwenye kampuni hiyo.
Mswada ule ulipata baraka kwa baraza la mawaziri,Jk Rais asiye jiamini anayemtegemea Rostam Aziz na Edward Lowassa kutwala nchi kwakuwa anawaogopa na kweli anawaogopa tunajua ,na tunajua lakini profesa msolla akaitwa na Jakaya Kikwete kwa wakati mwingine weweze kubadili baadhi ya vipengele ili kuwalinda majambazi wezi wakubwa hao wa makampuni ya simu .ambao wanabadili majina ya kampuni kila baada ya miaka mitano ,msolla kwa uadilifu wake alipingana na ushauri wa bosi wake kikwete akakataa kufanya tofauti na vile baraza la mawaziri walivyopitisha mswaada huyo .
Nawambia watanzania Rostam Aziz ni jasusi hamtaki kunielewa huyu mtu anaivuruga nchi ,subirini taarifa kamili
Nilishasema.
Kikwete siyo Rais.
Ila anataka watu wamuite Rais kama sifa tu.
Nchi inaongozwa na wenyewe.
Nampongeza Prof. Msolla.
Nadhani kuna haja ya wasomi wa nchi hii kuungana na kujitenga na CCM.
Vinginevyo nchi hii itakuwa ya mahala pa mateso kwa kila mtu asiye na pesa.
Ninakushangaa sana ndugu. Unasema Kikwete siyo rais sasa rais nani? Je alipindua alipindua serkali? Je kuna sehemu unaweza kueleza kuwa alipitishwa na chama chake isivyo halali? Je hakuchaguliwa na wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura? Kueleza kuwa Kikwete siyo rais ni kupingana na demokrasia ambayo imetengenezwa katika misingi ya katiba yetu. Tafadhali usiwadhalilishe watanzania na wewe mwenyewe ambaye ulipiga kura siku hiyo. Kama kuna matatizo kuna forum zake. Otherwise forum hii itaharibiwa na watu wenye uchu wa madaraka na madiktator.
RA ana hisa 17% tu...hisa 65 ni za Vodafone Group zamani zilikuwa 65 ni za Vodacom SA...source www.vodacom.co.tz