Kilichomponza mdogo wa Askofu Pengo hadi mauti

Mwenye nacho ndiye awezaye kukupa. Hivyo, wenye laana zao ndo huweza kuwalaani wenzao nao wakalaanika. Unapenda hupendi, ndivyo ilivyo.
 
Kufa ni unforeseen circumstances... Yeye kugonga nguzo ni coincidence tu.
His time was up!
Mtoa roho hua haangalii kama wewe una undugu na parako, askofu, mufti au sheikh.
Wakati wa kuitoa roho yako ukifika hata kama Ulikua unakunya hasubiri umalize yeye anainyofoa tu ukizingatia na ubize wa kazi yenyewe.
In death there is no running away, no bargains,no negotiations, no nothing.
Kama mitume na manabii wali nyofolewa roho zao, who are you or me!?!?
 
MLA PANYA SWANGA

wafanyakazi wa kanisani ni watu wa hovyo sana..

utadhani wao wanamkataba maalum na huyo mungu wa uongo....

tuseme wana wivu sana....mali za dunia zinafanya huyo mungu wako aue ndugu yako kwa ajili yako?yaani huyo mungu wenu kageuka assassin wa pengo,yeyote anaemdharau duniani hapa anamuua kwa niaba yake?

wapuuzi wakubwa na huyo mungu wenu jinga
 
Hii ni chai takatifu,pengo kwao wamezaliwa wawil tu,yeye na dada yake,huyo dada yake ni msomi na anapesa chafu...sasa huyu jamaa na hii story yake sjui kaitoa wap
Acha uongo wewe unawajua kweli.Wewe unawajua waliohai.Kwanza aliyewasomesha wote hadi huyo askofu ndiyo mkubwa na alishafariki.Kwa idadi wanaweza kufika watano na wengi wamekufa.Nenda sumbawanga eneo linaitwa mwazye,Ninga,Katazi kule upate historia zaidi ya mtawa huyu.
Usitulishe tango pori.
 
Pengo anabariki nyinyi watu mlilogwa ndoo maana namuonaga bwana mkubwa ananyenyekea na kubusu Pete ya Pengo akiamini kasamehewa dhambi eti ana PhD ni aibu sana.
 
"Wivuuuu ni ugonjwa jamani,
Hospitali ya wivuuuu sijaijua mamaeee"

Huwa inawasha na kuchoma ndani ya moyo
Unapoona yule udhaniae fala anakupigia bao kimaendeleo.

Wala asilaumiwe mtu,
Wanadamu ndivyo tulivyo.
 
Tu mtu tuongo bwana, eti anagongagonga kichwa utafikri kalikuwapo!
 
Mtumishi wa Mungu anakisirani kiasi hicho vipi sasa watumishi wa kawaida itakuaje?
basiii itakuw anaroho mbaya sana”.mdogo wake tu kamfanyia hvyo "je akidhulumiwa na mtu Baki ?? bila shaka atamla nyama
 
Mkuu point yako ni nini hasa?
Naona anataka kusema magari yote ambayo hayajabarikiwa na Pengo yatapiga mzinga na wenye nayo kufa.

Kama ni hivyo TRA wafungue kaofisi pale bandari ili wakati gari linakuwa cleared linapita mahali kubarikiwa kabla ya kuliingiza barabarani, na unalipia sadaka kidogo. Chanzo hicho cha mapato kwa ajili ya elimu bure! Na fikiria jinsi nchi yetu itakavyopunguza ajali za barabarani!
 
Unatuletea stori za mitaani za wafipa huku JF. Au na hiki ni kiwanda cha walapanya ndio unataka ukifungue!
QUOTE="MLA PANYA SWANGA, post: 26329359, member: 312601"]Yaweza ikawa ni chanzo kweli cha kifo chake ama isiwe.Wakristo huamini katika Kristo daima.

Yupo mdogo wa askofu Pengo aliyebahatika kusoma masomo ya uchumi na akabobea.Alifanya kazi kwa weledi mkuu.

Katika kazi yake aliwahi kufanikiwa kupata pesa nyingi kiasi kwamba huyo mchumi alijiona yeye ndiye kila kitu. Wakati huo huo kila mali aliyonunua ilikuwa desturi yake kuipeleka kwa kaka yake huyu askofu Pengo ipate baraka.

Basi huyu msomi alinunua gari ya kifahari ya zaidi ya milioni 60 ambapo kwa wakati huo ni wachache Tz walikuwa nayo.

Alipofika kwa kaka yake huyu askofu inadaiwa alimwambia maneno ya kuudhi kuwa, wewe umezoea kupata hela za mteremko kutoka kwa wazungu bila kuumiza vichwa, angalia mimi(huku akigonga kichwa chake) nimenunua gari kali nimeileta uibariki.

Maneno hayo aliyoyasikia Pengo kutoka kwa mdogo wake hakusema kitu zaidi bali alimwambia hiyo gari yako siwezi kuibariki. Alipokataa kuibariki hiyo gari mdogo wake akapanda akaondoka kwa mbwembwe.

Miezi michache yule mdogo wake akagonga nguzo na kufa hapo hapo.Ndugu walimulaumu Pengo kuwa hakumsamehe mdogo wake kwa kauli hiyo chafu kwake.

Hata msibani aligoma kwenda sijui ni majukumu ya kitawa au vipi.[/QUOTE]
 
Yaani hawa sijui manabii, mitume , ma pastor fake hadi siku hizi nao mapadri au maaskofu ukijua mambo yao ya ndani unaweza usitake hata kuwaona au kuwasikia wakishika biblia au kusalisha watu. Wana mambo ya kushangaza mabaya sana
 
Back
Top Bottom