Kilichomponza mdogo wa Askofu Pengo hadi mauti

Kilichomponza mdogo wa Askofu Pengo hadi mauti

Yaweza ikawa ni chanzo kweli cha kifo chake ama isiwe.Wakristo huamini katika Kristo daima.

Yupo mdogo wa askofu Pengo aliyebahatika kusoma masomo ya uchumi na akabobea.Alifanya kazi kwa weledi mkuu.

Katika kazi yake aliwahi kufanikiwa kupata pesa nyingi kiasi kwamba huyo mchumi alijiona yeye ndiye kila kitu. Wakati huo huo kila mali aliyonunua ilikuwa desturi yake kuipeleka kwa kaka yake huyu askofu Pengo ipate baraka.

Basi huyu msomi alinunua gari ya kifahari ya zaidi ya milioni 60 ambapo kwa wakati huo ni wachache Tz walikuwa nayo.

Alipofika kwa kaka yake huyu askofu inadaiwa alimwambia maneno ya kuudhi kuwa, wewe umezoea kupata hela za mteremko kutoka kwa wazungu bila kuumiza vichwa, angalia mimi(huku akigonga kichwa chake) nimenunua gari kali nimeileta uibariki.

Maneno hayo aliyoyasikia Pengo kutoka kwa mdogo wake hakusema kitu zaidi bali alimwambia hiyo gari yako siwezi kuibariki. Alipokataa kuibariki hiyo gari mdogo wake akapanda akaondoka kwa mbwembwe.

Miezi michache yule mdogo wake akagonga nguzo na kufa hapo hapo.Ndugu walimulaumu Pengo kuwa hakumsamehe mdogo wake kwa kauli hiyo chafu kwake.

Hata msibani aligoma kwenda sijui ni majukumu ya kitawa au vipi.

HATA KAMA NI KWELI MKUU ITS TOO PERSONAL mi nadhani tujikite kwenye kujadili maswala na si watu, wewe mwenyewe katika familia yako una makorokoro yako milioni hatuwezi kuyachimbua kama si kutafuta umbea.

Sijadhamiria kukukera mkuu bali najua ukweli huu unaweza kubadilisha mindset yako na kesho ukawa mweledi katika maswala si watu.
 
Alimloga tuu hapo hakuna kitu kingine.....Mungu ni mwenye huruma hawezi lipiza kisasi..hapo ni uchawi tuu
 
Nona hapa kuna wafipa wengi, naomba mnisaidie . Kaka yangu alibahatika kuzaa na mwanamke Mfipa, bahati mbaya hawakufunga ndoa , lakini tulikuwa tukienda anatupikia, miaka kama kumi iliyopita kaka alifariki na mwaka Jana huyo mama amefariki. Kaka alipofariki mtoto alikuwa na miaka 4 na sasa yupo Std V! Kiumri analingana na wangu wanazidiana miezi, kitendo cha kaka kufariki kiliniumiza na kwa hulka ya asili yetu ni lazima mtoto/watoto wa marehemu watunzwe. Nyumba walioishi kaka aliijenga na mke mkubwa. Baada ya matanga niliendelea kumtunza yule mama kifedha kwa sababu ya mtoto. Maisha hayakuwa rahisi waliishi DSM, mie nipo mkoani, lakini nilipeleka matumzo na hakuwa mwajiriwa. Mwaka mmoja kabla ya ya umauti baada ya yeye pia kuzidiwa na maradhi, nilimuomba nimchukue mtoto, aliyekuwa pia akiugua ugua kwasababu ya lishe na matunzo kwa ujumla. Alikubali, nikamchukulia uhamisho.Baada ya miezi 6 niliruhusu mtoto akamuone mama yake, akiwa bhuheri wa afya, alipimwa hospital na ikabainika hana tatitizo. Mtoto analelewa katika msingi yote ya kimaadili na Kimungu, jambo ambalo mama yake alimsifia baada kufika akawa anaongoza rozari(kwa waroma) wakisali na mama yake, ikamtia hamasa mama akamrudia Mungu. Mwaka Jana mama alifariki. Mara baada ya matanga kasheshe likaanza. Mtoto haondoki, wajomba hao! Mama zake wadogo wakawa hawana tatizo. Ikaelezwa ati nitoe pesa nimkomboe mtoto laki 4! nilikataa, nikaondoka, baadae walifikia mwafaka na ndugu zangu, ambao hawamlei mtoto, sasa naandamwa eti nipeleke hela za kumkomboa mtoto!naomba ushauri wenu? Nisipo peleka madhara yake ni nini?
 
HATA KAMA NI KWELI MKUU ITS TOO PERSONAL mi nadhani tujikite kwenye kujadili maswala na si watu, wewe mwenyewe katika familia yako una makorokoro yako milioni hatuwezi kuyachimbua kama si kutafuta umbea.

Sijadhamiria kukukera mkuu bali najua ukweli huu unaweza kubadilisha mindset yako na kesho ukawa mweledi katika maswala si watu.
Hujanikera,masuala yote yanayojadiliwa humu ni watu si wanyamapori.Pengo ni mtu tena ni icon ya jamii ndani ya pengo kuna kanisa katoliki ambalo lipo dunia nzima lakini pia ndani yake kuna ukoo wake na kabila lake la wafipa.
Wewe kukataa asijadiliwe ni kumkosea mhusika na jamii nzima.Kabla ya kuwa mtawa alijadiliwa,kabla ya kuwa paroko alijadiliwa,kabla ya kuwa askofu alijadiliwa na hata kabla ya kuwa kadrinali alijadiliwa ili kujua mienendo yake.Kafanyiwa vetting ya kutosha.
Sioni kosa kumjadili.Vyovyote iwavyo lazima ajadiliwe mbona naye huwa anawajadili wenzake tena waliokufa.Juzi tu kamsema nyerere ktk misa yote.Tutamsema tu.Hatuna nia ovu naye.
 
Yaani hawa sijui manabii, mitume , ma pastor fake hadi siku hizi nao mapadri au maaskofu ukijua mambo yao ya ndani unaweza usitake hata kuwaona au kuwasikia wakishika biblia au kusalisha watu. Wana mambo ya kushangaza mabaya sana
Mi kuna mmoja wa huko "nilikokuwa na abudu" maarufu sana, nae anajiita nabii!! yani shida sana. Nimepanga nikirudi nyumbani narudi kuabudu RC kanisa nililoanza nalo kabla ya kuchepuka, heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Hujanikera,masuala yote yanayojadiliwa humu ni watu si wanyamapori.Pengo ni mtu tena ni icon ya jamii ndani ya pengo kuna kanisa katoliki ambalo lipo dunia nzima lakini pia ndani yake kuna ukoo wake na kabila lake la wafipa.
Wewe kukataa asijadiliwe ni kumkosea mhusika na jamii nzima.Kabla ya kuwa mtawa alijadiliwa,kabla ya kuwa paroko alijadiliwa,kabla ya kuwa askofu alijadiliwa na hata kabla ya kuwa kadrinali alijadiliwa ili kujua mienendo yake.Kafanyiwa vetting ya kutosha.
Sioni kosa kumjadili.Vyovyote iwavyo lazima ajadiliwe mbona naye huwa anawajadili wenzake tena waliokufa.Juzi tu kamsema nyerere ktk misa yote.Tutamsema tu.Hatuna nia ovu naye.

Kama umeamua kujadili watu mkuu kila la kheri
 
Sio kisirani uyu niwakala wa shetani anaamini nguvu za Giza sio za jua.
 
Unajua wafipa huwaga ni waongo waongo mno nyie na mnazusha na ku-exaggerate mambo mengi mno ya kijinga na ndio hasa chanzo cha mji wenu Sumbawanga kuogopwa na kuchelewa sana kuanza kupiga hatua japo ulikuwa na kila sababu za kufanya hivyo mapema.
Duuuh najua mkoa huu hauujui katu.Rukwa haiogopwi labda unaiogopa wewe.
 
Back
Top Bottom