Bin Maryam
JF-Expert Member
- Oct 22, 2007
- 685
- 13
it's so absurd and indeed defies logic for our dear President to attend such an event whose motives are not clear.Were it a musical concert for fundraising to help the hungry and poor and the sick and JK asked being a guest of honor for the event ingeeleweka,yaani ingekuwa kama ile ya USA 1984 for Ethiopia,hapo hata angepiga picha na kina Beyonce,Rihanna,J.Lo,Eve,Lady Saw,Foxy Brown et al ingeeleweka...
Or was it to fulfil a long held dream and make true of his alias "Boyz II Men"?Please JK may you be serious for a moment?History will record all that you are doing now and as Bob Marley put it"time will tell..."
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu
Bin Maryam umeusoma unyang'au na ufisadi wa Sullivan/GWI? Umesoma jinsi Sinclair alivyokuwa anatokwa na mate kuhusu "my good friend Kikwete" wakati wa campaign za uchaguzi? Umesoma utumbo aliofanya Andrew Young na Obasanjo Nigeria?
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu
Watanzania wanataka mikutano ya kuomba hela au kuchangisha pesa za kusaidia tu.
Haya mambo ya kufikiria kila mtu anajua Serengeti au Mlima Kilimanjaro hupo Tanzania hayapo.
Wakati umefika wa watanzania kutoka nje na kujichanganya.
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu
hivi mshauri wa JK wa uchumi ni nani?
maana sie ukianza kusema tunayoyajua kuhusu yule mwanamke ambaye anawakilisha GOODWORKS mtasema huu ni uzushi
Kulikuwa na ulazima gani wa kwenda huko USA in the first place?
..it doesn't matter!
Unamaana siyo muhimu kuwajua washauri wa Uchumi wa JK? You cant be serious. Hatuwezi kumjadili JK bila kujua profile ya timu yake ya Uchumi
..eeh bwana lete story za jill!
Jill ni kinganganizi ile mbaya anaweza akawa anampigia masimu JK mpaka usiku wa saa sita kutaka kulazimisha appointment on the next day. JK kuna kipindi akawa keshamchoka na kama unavyojua JK akaamua kumtupia mzigo Membe na Membe kama umjuavyo anataka procedure zifuatwe then mpira ukawa unarudishwa kwa Lumbanga(huyu naye anakesi ya kutapeli viwanja sema kasi ya ya hongo pale kitusi haina mfano..thread yake itabidi ijitegemee) lakini sasa katika wigo la Jill na JK, likaingiliwa na Mchungaji Charles Stith (alikuwa balozi na alihusika na kuwatuma ma agent pale Usalam wa Taifa jirani na st Peter kuchukua mchanga wa kujenga ubalozi mpya matoeo yake ikawa bonge la noma na jamaa wa Usalama na JK enzi hizo yuko Foreign) anyway Stith baada kugonga Ukuta ikabidi GWI waanze kutumia Gia kubwa ya mgongo wa Bibie kule State kwa kisingizio ni black mwenzetu, lakini unajua yule bibie ni mnoko ile mbaya lakini hakutaka kumsononesha Andy Young akawapa contact ya lobbyist mmoja yuko K street DC nitakupa address yake in PM) sasa hapo ndipo mzaramo wetu alipatwa and the rest is history anazidi ku clock air miles!
Hapo sijakueleza role walizozicheza akina Bomani na Rupia
..nadhani anaujua yeye...ila wakiletwa bongo hao jamaa itakuwa poa. i mean, boys 2 men.
WASTING TAX PAYERS MONEY
We need serious investors na ninavyojua mie hawa ma AA are not serious investors kama naongopa lets have this discussion 6 moths after hii LSC ...reference yangu ni Nigeria na Senegal
Bin Maryam! Tafadhali naona unahitaji kutembelea thread "Sullivan Summit, Tanzania, Andrew Young connecting the dots" ili uelewe kinacholalamikiwa hapa. Hii kusema eti wanavutia wawekezaji ni utumbo mtupu! Naomba utulize akili usome thread hiyo ndefu ili upate kuelewa vizuri kinachoendelea! Eti 'innocent until proven guilty'? Well, they have been found guilty several times in the court of public opinion! Especially in poor African countries! That is enough!
Unamaana siyo muhimu kuwajua washauri wa Uchumi wa JK? You cant be serious. Hatuwezi kumjadili JK bila kujua profile ya timu yake ya Uchumi
Jill ni kinganganizi ile mbaya anaweza akawa anampigia masimu JK mpaka usiku wa saa sita kutaka kulazimisha appointment on the next day. JK kuna kipindi akawa keshamchoka na kama unavyojua JK akaamua kumtupia mzigo Membe na Membe kama umjuavyo anataka procedure zifuatwe then mpira ukawa unarudishwa kwa Lumbanga(huyu naye anakesi ya kutapeli viwanja sema kasi ya ya hongo pale kitusi haina mfano..thread yake itabidi ijitegemee) lakini sasa katika wigo la Jill na JK, likaingiliwa na Mchungaji Charles Stith (alikuwa balozi na alihusika na kuwatuma ma agent pale Usalam wa Taifa jirani na st Peter kuchukua mchanga wa kujenga ubalozi mpya matoeo yake ikawa bonge la noma na jamaa wa Usalama na JK enzi hizo yuko Foreign) anyway Stith baada kugonga Ukuta ikabidi GWI waanze kutumia Gia kubwa ya mgongo wa Bibie kule State kwa kisingizio ni black mwenzetu, lakini unajua yule bibie ni mnoko ile mbaya lakini hakutaka kumsononesha Andy Young akawapa contact ya lobbyist mmoja yuko K street DC nitakupa address yake in PM) sasa hapo ndipo mzaramo wetu alipatwa and the rest is history anazidi ku clock air miles!
Hapo sijakueleza role walizozicheza akina Bomani na Rupia
WASTING TAX PAYERS MONEY
We need serious investors na ninavyojua mie hawa ma AA are not serious investors kama naongopa lets have this discussion 6 moths after hii LSC ...reference yangu ni Nigeria na Senegal
Sijuhi unaishi wapi. Makampuni mengi yanatumia proxies. AA sio serious investors lakini kila kampuni kubwa marekani lina quota yake ya minorities na vile vile ni lazima lijishughulishe na coorperate citizenship na hapo ndipo utawakuta AA.
hakuna anyekataa legality lakini tatizo ni pale GWI inapotumia Sullivan kama launch pad ya kuonyesha jinsi gani walivyoserious huku kila mtu anajua jinsi gani walivyohusika na wizi wa mikataba ambayo inaweza ikaput inshame mikataba ya kilanguzi ya KARL PETERS
hiyo mwanamke JILL ni very prominent na hakuna umbeya katika hili naweza kukuhakikishia