Kilichomkuta mchungaji huyu kiwe funzo

Nuhu39

JF-Expert Member
Jan 5, 2018
1,055
2,000
Nakumbuka kisa cha Mwinjilisti Enoch Mwanyonga, dah.... Akaenda msibani, akawaambia wafiwa, acheni kulia, marehemu hajafa, amelala tuuu.... Hebu fukieni kaburi, jamaaa wakamwambia usitutanie, mfufue Kwanza ndipo tufukie kaburi.
Jamaa akapiga dua za kufa mtu, aliyelala hakuamka. Kidogo achezee mikwaju
Huyo ilitakiwa achezee kipigo hasa watu wanataka kuzika unawaambia atafufuka na hafufuki
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,795
2,000
Wakati mchungaji yule yupo akiendelea na mkutano, nyumba kama ya tano toka pale yalipo makutano kuna mgonjwa akafariki, basi wale wanafamilia wakakimbia kumueleza mchungaji kilicho tokea na kwa kuwa katika matangazo waliona habari za KUFUFUA WAFU


Inawezeka huyo mgonjwa alifariki kwasababu ya kelele zake Mchungaji
 

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,157
2,000
Though wachungaji wa siku hizi ni matapeli, lakini hata angekuwa Mtumishi wa Mungu kwelikweli bado kuna uwezekano wa kuomba jambo na lisitokee vile tunavyotarajia maana Mungu hajibu kwa kufuata matakwa wa mwanadamu, anajibu kwa wakati wake, kwa wakati sahihi, kwa namna anayoona inafaa.

Mfano unaweza ombea mgonjwa apone, na siku hiyo hiyo akafa, lakino kumbe hilo ndio jibu la Mungu. Anakuwa na maana kuruhusu jambo hilo litokee kwa wakati huo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom