Kilichomkuta mchungaji huyu kiwe funzo

Shida ni kwamba watu hawasomi biblia, sio kila maiti inafufuliwa ila mpaka upate kibali cha roho mtakatifu, na ukipewa kibali kutoka juu jua wazi kuwa kuna watu Mungu anawatafuta watubu dhambi zao na kumkiri kuwa Yesu ni Bwana zaidi ya mabwana
Co kwa imani zetu hizi za Sasa muombaji mwenyewe hana hata yakini kwa akiombacho
 
Walipomkubali tu Beyonce kuwa ni mungu wao akizindua dini na biblia yake na wakaenda kumuabudu hadi wakajaza kanisa ilihali ni Mtu wa kawaida tu aliyecheza uchi weee...miaka nenda rudi ndipo nilipojua kuwa Wajinga ni wengi sana kuliko wenye akili timamu duniani
 
Baathi ya wachungaji wa siku hizi wengi wao sio wakweli wanatumia njia mbalimbali il wawe na waumini wengi
Nadhani suala hapa ni imani haba kutokana na matendo machafu yanayo endelea hivyo kudhoofisha ule uwepo Wa karibu na Mwenyezi
 
Baathi ya wachungaji wa siku hizi wengi wao sio wakweli wanatumia njia mbalimbali il wawe na waumini wengi
Hao wachungaji wa kweli huwa wanafufua watu,kuleta utajiri,vilema kuembea na vipofu kuona ?

Au tunawajuaje Wachungaji wakweli ?
 
Hao wachungaji wa kweli huwa wanafufua watu,kuleta utajiri,vilema kuembea na vipofu kuona ?

Au tunawajuaje Wachungaji wakweli ?
tatizo ni kuwa wachungaji wengi wanaamini dini ya kweli ni miujiza pekee

Pili wana ni Mungufy kiasi cha kuhisi wao ndiyo wenye mamlaka na kusahau kuwa wao ni daraja tuu
 
Back
Top Bottom