Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

Lowasa ametumwa na Mungu kuja kuwakomboa Watanzania kwa dhiki na shida walizonazo kutoka kwenye minyororo ya Mkoloni wa Kijani CCM.
 
Wameambizana wakale pesa yake make watz kwa kuoenda vya bure wako vizuri sana
 
hili liko wazi kabisa, watu wengi watapoteza muda mwingi kumshangilia lowasa lakini wengi wao hawatampigia kura. Watu hawa ni wale ambao wanamshangilia kwasababu tofauti kabisa na zile watu wanazozifikiria. Watu wengi wanamshangaa lowasa kwa sababu hizi lakini hawana mapenzi yoyote naye-
(a) wanashangaa kumuona makapia aliyekatwa na ccm-wengi hawajamuona tangia kipindi kile (b) wanashangaa kumuona jinsi asivokuwa na afya njema lakini bado anahangaika na urais. (c) wanashangaa kumuona mtu aliyepwa majina lukuki mashafu na watu hao hao waliomweka front (d) wanashangaa kumuona lowasa akivaa gwanda. (e) wanataka kula hela zake kwani wamesikia anatoa elfu tano tano kwa boda boda. (f) wanashangaa mtu aliyesema kikwete hakukutana naye barabarani, lakini kikwete huyo huyo akamtosa (g) wanashangaa kumuona mtu anayetoa sababu tofauti tofauti kila anapoulizwa kuhusu richmond. (h) wanashanga kumuona mtu aliyekuwa anasema ‘watatuweza' halafu ccm wakakata kichwa. (i) wanashaangaa kumuona mwanaume aliyewaweka kumfukoni mboe na mtei (j) wanashangaa kumuona kibabu kitavyopigika punde atakaposhindwa uchaguzi. (k) ongeza na za kwao
(l) …… (m) ….. (n) …… (o) ……

live kutoka mirembe
mchizi anatokwa na povu la hatareeee
 
Acheni kukariri. Hiyo ni miaka hiyo. Siku hizi kura watu wanapiga. Mnajifanya mmesahau kwenye vituo vya kujiandikisha mlikuwa mnasukumana na wavuta bangi hao hao na mnaowaita vijana wa vijiweni!? Watapiga kura tu. Na vijini pia watapiga kura tena kwa upinzani coz wamechoka maana hakuna namna nyingine saaa
 
Mimi niko mikoani lakini nimeangalia picha inayo onyesha imepigwa tokea juu labda kwa helkopter.Mbona kama kalibeba jiji zima?Lakini naona mods wanazitoa nyuzi hizo au wanaziunganisha hadi kupotea.Tunaomba mods mtusadie nasisi wa mikoani tuone japo kidogo jamani huyu mmasai anavyo taka kuchukua nchi[

Usihofu .....hicho kimbunga kitarushwa na luninga ya ITV leo saa tatu usuki...stay turned...VIVA UKAWA
 
Back
Top Bottom