Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,601
- 10,097
Tanzania ni moja ya nchi inayoongoza kujenga vitu chini ya kiwango mfano Uwanja wa Manungu wa Mtibwa umefanyiwa marekebisho hata kuweka majukwaa ya watu elfu tatu imeshindikana hii ni aibu sana.
Kuna ule uwanja wanatumia Polisi Tanzania upo Arusha inamaana Mtibwa wameshindwa kujifunza kupitia huo uwanja! Walichofanya Manungu ni kuweka ukuta tu yaani hamna maajabu.
Kuna ule uwanja wanatumia Polisi Tanzania upo Arusha inamaana Mtibwa wameshindwa kujifunza kupitia huo uwanja! Walichofanya Manungu ni kuweka ukuta tu yaani hamna maajabu.