Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na ACT Wazalendo walitoka bungeni na kuamua kuji-quarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.
Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.
Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.
Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.